Wanaume tupo katika vita vikali sana. Tujipange!

Wengine nilikuta wanajadili kuhusu limbwata,

wanaambiana kuwa ukitaka kumteka mume, chukua kipande cha nyama na ukiweke matakoni usiku kucha, asubuhi chemsha na nyama zingine halafu mpe ale, hapo mume hataenda kokote utakuwa umemteka!
Duh noma adse
 
Najitolea Kuwa sample ya kilichozungumzwa hapo juu kama kuna mwanamke yeyote humu JF anaamini huo upumbavu aje tufanye experiment ili tuje na majibu ya pamoja

Natanguliza shukrani
 
Mtu unavopiga game mbunye kama 3 kwa siku na zinaondoka nyakanyaka kuna haja kuwekewa sindano?
Danganyaneni hukohuko
 
Back
Top Bottom