Wanaume tunarogwa sana na hawa wanawake

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,862
35,192
Ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wameamua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia, tunarogwa sana, tunalishwa vitu vya ajabu, wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana.
 
ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia,tunarogwa sana ,tunalishwa vitu vya ajabu,wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana

Niliwahi kuorodhesha hapa aina mbali mbali za limbwata, na ilionekana wazi kabisa kuwa wateja wengi ni wanawake na wahanga ni wanaume!
 
Namnarogeka kweli nyie wanaume wa sikuizi? na wanaume wengi pia hawatoki kwa babu sikuizi sijui wanaroga nini ebu tuambieni jamani....
 
ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia,tunarogwa sana ,tunalishwa vitu vya ajabu,wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini tunarogwa sana

Wanawake karibu wote wanaloga, kuanzia walokole hadi mahouse girls. Ni hatari tupu.

Na tutawaloga sana mpaka mshike adabu..........mmezidi.........logaa wote..........
 
Wanawake karibu wote wanaloga, kuanzia walokole hadi mahouse girls. Ni hatari tupu.

Unanikumbusha aunt yangu mmoja alikuwa mlokole 1st class ikaja kubumburuka anatilia limbwata mume wake,niliona hakuna tofauti ya mpagani na mlokole kwa kweli
 
Mngekuwa mnalogwa sana wengi wenu mngekuwa mmetulia na wake/wapenzi wenu bila mbwembwe za nyumba ndogo na michepuko kila mahali.

Hivyo vitu mnaweza mkawa mnalishwa kweli ila vitakuwa havifanyi kazi,au pengine mmekomaa kiasi kwamba hamlogeki tena. Maana mtu hawezi kuwa na mke aliyemloga bado akamtafutia nyumba ndogo, nyumba ndogo nae amloge na bado akatafuta na mchepuko mwingine.
 
Huko kwenye michepuko ndio tunapolishwa
 
Mngekuwa mnalogwa sana wengi wenu mngekuwa mmetulia na wake/wapenzi wenu bila mbwembwe za nyumba ndogo na michepuko kila mahali.

Hivyo vitu mnaweza mkawa mnalishwa kweli ila vitakuwa havifanyi kazi,au pengine mmekomaa kiasi kwamba hamlogeki tena. Maana mtu hawezi kuwa na mke aliyemloga bado akamtafutia nyumba ndogo, nyumba ndogo nae amloge na bado akatafuta na mchepuko mwingine.
uchawi unazidiana sana ,hizo nyumba ndogo ndio zinaroga sana kuliko wake wa ndoa ,usione mtu anakimbiafamilia ukadhani kapenda juju
 
mtaua watoto jamani imaginewe ndio ungekuwa mama mwenye nyumba mumeo anarogwa hivyo na mchepuko ungejisikiaje

Hapo ndipo ilipo sababu ya kukuloga.........na nitakuloga mpaka ukae sawa..........
 
Daaah! Na Mimi umeniloga waifu? Unakosa nini kwangu mpaka uniloge? Siamini, huu ni utani najua

Wewe usiwe na shaka.......nimekuweka kwenye chungu muda mrefu........huna neno.......relax...........
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom