Wanaume tunapigwa sana kwenye familia

Hayo ni maajabu mengine ya mwanamke, ukimpa buku mbili anarudi na kuku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ (joke)
Huyo kuku asiingie ndani kwangu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nadhani mnanguvu ya kushawishi bei kushuka. Kuna kazi fulani tulikuwa tunashindania ya ukandarasi, tuliikosa baadaye nikamtuma Dada fulani akashawishi hadi tukapewa ile tender ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿƒ๐Ÿป๐Ÿƒ๐Ÿป
 
Yeah hapo kwenye ushawishi kwakweli tupo vema, najua mwanaume akiambiwa bei ndio hiyo hiyo atanunua
 
wewe acha uzuzu unatakiwa unapotoa kodi ya meza ushapiga hesabu kabisa kina nunuliwa nini siyouache hela utegemee uje upigiwe hesabu ya matumizi
wewe inaonyesha hata girlfrend hauna ndio maana unachangia usivyojua ,yaani mwanamke wa mjini umpangie cha kununua au kupika unataka uhachwe mara moja.๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Nahisi jambo hili linanishinda, kila nikienda Sokoni nikiuliza bei nikitajiwa siwezi kuomba ipungue.

Hivyo naweza kwenda na 50,000 narudi na vitu kiduchu wakati mwenzangu akienda anarudi na mazaga ya kujaza friji

Huko sokoni na muendage wenyewe tu ๐Ÿ˜…
Unaibiwa bro,shituka .Hawa wauza magenge wanaongoza kwa kutembea na wake za watu ,yaani mkeo atakuwa anaongwa mafungu ya nyanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna jamaa yangu mTz niliishi naye Maputo alioa mwanamke wa huko.Alikuwa ananunua kila kitu anaweka ndani familia ya mke wake inaishi hapo mtaa mmoja basi akienda kazini wanakuja na mifuko mke anawapunguzia ndugu zake kuanzia unga mpk nyanya.Wapo wanawake wengine wakija mashosti zao wanagawa vitu,inakuwa kazi bure tu.

Bado upo Maputo mkuu wiki ijayo nikupitie hapo?
 
Unaibiwa bro,shituka .Hawa wauza magenge wanaongoza kwa kutembea na wake za watu ,yaani mkeo atakuwa anaongwa mafungu ya nyanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu acha kunipa pressure, utafanya nife haraka bure kwa stress iwapo ikagundulika ni kweli๐Ÿ™†๐Ÿ˜ญ

Nimeelewa now kwanini wenzetu wa Pwani, Wanaume ndiyo huenda Sokoni๐Ÿ˜€

Saivi anakwenda Dada wa kazi, anapewa mshiko then anakwenda kukusanya vitu vya kutosha wiki kadhaa.
 
Usi

Usiruhusu wife kwenda huko Masoko mshenzi labda kama ni Mall au supermaket๐Ÿ˜
 
Nunua vitu vya jumla
Mfano mchele,mafuta,chumvi,mahindi,marage,tambi,unga wa ngano,sahuni,viberiti,nk yani Kama unafungua duka ivi alafu soma gepu ivyo vidogodogo Kama nyanya vitungu mwachie yeye kwani yeye ni goal keeper
NB usisahau kuweka bill ya nyama buchani akapitie tuuh
Wengine hata ununue jumla,fojali Sana ck tatu tu anakwambia vimeisha
 
Wanaume wa sasa wanaogopa majukumu..wao kamserereko๐Ÿคช
1624200764701.png
 
Habari wadau.

Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia.

Hivi kwa nini wanawake wa kibongo hawataki kusikia habari za daftari la familia, namaanisha wanatakiwa kutuambia kila senti inavyotumika katika ile kodi ya meza imetumikaje?

Maana kuna jamaa yangu anaishi kwenye nyumba ya kupanga iliyojengwa na mke wake lakini hajui kama mke wake ndio mama mwenye nyumba.

Je, kuna ubaya wana ndoa wakiwa na daftari la familia?
View attachment 1824674
 
Back
Top Bottom