abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habar wadau wa JamiForums
Katika kuweka mazingira ya usawa Tanzania katika Sheria zetu ningeomba uwekwe usawa katika sheria ya Mimba na mwanafunzi na iwe yenye kutufaidisha wote isiwe na double standards ya kuiona Haki ya Mwanamke peke yake Bali sheria zetu ziundwe kwa mtindo wa asilimia hamsini kwa hamsini
Serikal baada ya kuamua kua Mwanamke anapo Pata ujauzito anaweza kuendelea na shule kwa utetezi wa kua Mtoto hawezi kua mwenye hatia kisa tu kazaliwa na mama Mwanafunzi na kumfanya alelewe na mama alie kosa Elim na Baba ambae yuko jela
Hii ni Sawa Lakin naona serikal yetu imejikita Zaid kwenye kumtetea mwanamke na kuogopa kukosa Elim na kumfanya mtoto alelewe na mama ambae hajasoma
Je vip sis wanaume serikal haiona kua Watoto zetu ambao watakua ni watanzania watapewa adhabu isio wahusu ya kukua Bila maledh ya baba zao? Kisa tu baba zao wamezaa na wanafunzi?
Mimi Binafsi ningependekeza serikal yetu kama ilivyo tambua kua Si Sawa kwa mama basi pia si Sawa kwa Baba wawache walio Bebesha mimba walee Familia zao na Kusimamia Elim ya mama uku mama akipatiwa maitaji ya mtoto kwa sababu Asilimia kubwa ya wanawake wanao Pata mimba mashulen Familia zao Hua Duni na haziwezi ku handle mtoto aende shule uku wao wakilea mjukuu ivyo ni Bora Baba anae kua kahusika Asifungwe ili Asimamie Familia
Naomba kuwasilisha