Wanaume tunakwama sana tukifanya ivi kwa wanawake zetu

DAD'S SON

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
392
500
Huu ni ukweli ambao nobody anawaweza leta facts za kuupinga,wanaume wengi tumekuwa tukiachwa na wanawake zetu sababu ya UJINGA wetu na kujiona tumewawin kumbe hamna kitu.

Mambo haya ukifanya utaachwa tuuu hakuna namna.
1.kumcompare mwanamke wako na wanawake wengine(mfano Xs)
Hii wengi huwa tunafanya tukidhani tunajenga kumbe tuna boboma,take it from me ma men,wanawake wengi hawataki umkompe na mwanamke mwingine ni bora km ulitaka kumuelekeza utumie akili ya kiume kumuelekeza na si kumlinganisha na wanawake wengine mfano unakuta kidume kinamwambia mwanamke wake" ila ungekuwa na kiuno km cha sarah ungekuwa mkalii wewe sema usijali nimekupenda ivi ivi ulivyo" au "ungekuwa unavaa km Fatuma ungekuwa unapendeza sana"
Chief kwa style hii utaachika tu.

2.kujifanya eti unaficha hisia zako kwa madai ya kutoonekana mjinga(hujidedicate kwake).
Tatizo hili vijana wa kileo tunalo sanaaaa eti kidume unajikuta unaogopa kushow love kwa mwanamke wako kwa madai ya kuwa akijua unampenda atakuumiza(stupid),moja ya siri ya kumteka mwanamke ndugu ni kushow love tena ya kiwango cha KIFILIPINO no pretending,yani hapo mwanamke atakupa kila kitu even mtaji wa biashara sasa wewe jikute Nunda unahide feelings...utaachwaa tuu hakuna namna(tubadilike).

3.Zawadi,
Wanaume wengi hapa huwa tunafeli sana my simple research inaonyesha 98.99% huwa hatujali about gifts kwa wapenzi wetu and we take it kawaida,let me tell you my Boss wanawake wanapenda sana Mwanaume wake amletee zawadi hata kama ni CHOCOLATE ya sh 500tsh.Hii kitu inampa assurance mwanamke kuwa upo serious nae na unampenda,wengi wetu huwa we don't care about it tunajua mwanamke anapenda zawadi kubwa kubwa km iPhone,gari,nk.Ukweli Ni kwamba kidogo ulichonacho share nae kwani huwa wanajisikia faraja sana.

Sababu za hapo juu ni chache though zipo nyingi but tu deal na izo za juu ambazo Ni main
 
kazi NA sala

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
3,875
2,000
Hapo namba mbili utafanya wewe..hamna kitu kibaya kama dharau.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom