Wanaume tupo katika vita vikali sana. Tujipange!

Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
690
1,692
Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu, sasa kama ni kweli haya mambo yanatendeka basi wanaume lazima tujue tunapigana vita vikilai sana ama kwa kujua ama kutojua...

FB6.png

FB3.png

FB4.png

Uzi tayari...
 
Wengine nilikuta wanajadili kuhusu limbwata,

wanaambiana kuwa ukitaka kumteka mume, chukua kipande cha nyama na ukiweke matakoni usiku kucha, asubuhi chemsha na nyama zingine halafu mpe ale, hapo mume hataenda kokote utakuwa umemteka!
 
Daah !! Nyama za matakoni😲😲 ndo maana tunawahi kufa. Tunakufa kwa Mengi🙌🙌
 
Back
Top Bottom