Wanaume Tujipange, Vyama vyote, wabunge majimbo yote wawe wanaume ili tuungurume Bungeni.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Wakuu
Kiongozi huyu ameonesha wazi ubaguzi dhidi yetu mara kwa mara sasa afahamu kwa mila za sisi wengine kwanza ni kosa kuongozwa na mwanamke, tunakaa kimya sababu ashakua kiongozi kwa misingi ya katiba lakini kwa mila na desturi mimi hua kuongozwa na mwanamke ni mwiko na hua sijadiliani nae chochote.

Vyama vyote natoa wito wanaume nchi nzima tuhakikishe wabunge wa majimbo wote wanakua wanaume, ili tuweze kujitetea Bungeni maana huyu anatubagua hadharani hana nia njema na sisi.

Ni muhimu popote atakapogombea mwanaume hata kwa kumchangia pesa tufanye hivo na iwe nchi nzima, kwa wanaopata muda ukipita hata sehemu mwanaume mwezako anaomba kura simama umuombee hata kura tano,
WANAUME WOTE NI WAPAMBANAJI LAZIMA TUSHIKAMANE TUKICHEKACHEKA MFUMO JIKE WATATUPANDA KICHWANI WAKATI BIBILIA NA QURAN ZINATUTAMBUA KAMA VIONGOZI KIASILI,
 

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,702
2,000
Hapa ni kuanza na mbinu za kufanya kuwa wengi.

1. Hakikisha kama mwanaume unatafuta wanawake zaidi ya watatu ili kwenye kura unapanga nao foleni kupigia kura.

3. Tujifungamanishe na viongozi wetu wa dini ili ile mistari yetu pendwa ya mwanaume ni kiongozi na mwanamke ni msaidizi ipate kuhubiriwa angalau mara tatu kwa wiki
Hapa Gwaji boy, shekh Kipozeo n.k waungwe mkono.

4. Hata kwa ghalama gani tujiepushe kushiriki upumbavu wowote unaowahusu wao
Yani hata u dj kwenye makongamano yao tuwaachie.

5. Jitahidi kila mwanamke unayekutana naye unampiga mimba halafu hakikisha unamtelekeza. Make hii ishakuwa vita.
 

VON BISMACK

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
1,364
2,000
Huyu mama anatukosea adabu

Eva& delila=samia.
Wanawake wakipata wanaanza dharau.

Magufuli aliwai kusema hawezi kutanguliza mwanamke mbele😀😀😀
 

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
2,750
2,000
Kwakweli mama kazingua sana. eti "Tukimuweka raisi wetu tutakutana tena hapa kwa furaha"

Sasa wanaume tuamue kwa kauli moja, mwaka 2025 tunamuweka raisi wetu, na tukishamuweka tuhakikishe nyadhifa zote nyeti tunakaa sisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom