Wanaume tujifunze ni Vitu gani viwepo Geto vya kumdatisha Mdada ili arudi tena?

Geto langu

1)Home Office, Kuna meza na kiti za ofisini Executive, juu ya meza kuna vitabu, pin board, Simple whites notes board Pembeni ya meza na Laptop...hii ndio sehemu muhimu ya geto kwaajiri ya.
_Brainstorm new ideas
_Plans n Goals
_Learning n Training new things
_Writing

2)Home Gym, kuna setup ya Free Weight Dambell, Barbell, Yoga nap, flat bench...vyote viko katika sehemu ya geto inaitwa GYM.

3)Entatainment, hapa kuna Flat TV, PS Game na Home thieta hii sehehu kwaajiri ya burudani tu.

4)Fashio n Life Style, hapa kuna hanger ya nguo safi, Dressing table, chakuwekea viatu nk.

5)Design, Hapa ni urembo wa Geto hasa wallpaper ya ukutani nzuri.

Hizi Part za room zote zipo kwenye sehemu husika na zijachukuwa nafasi kubwa kimsingi mimi napenda kuwe nanafasi kubwa iliyobaki kwaajiri ya
_Workout
_Meditation
Ndio maana siweki Sofa na kitanda kikubwa.

NB: lijafikia huko bado geto ila nipo step by step step, geto langu kwaajiri ya interest zangu.
Sor elena Mada mkuluuu....hapa hatuzungumziii nyumbaaa .....GETO....BABA ACHA KUJINADIIII......kwa city vya msshuaaaa wako

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwamba mmoja hapo juu anasifia house ya kwao huko masaki hajui hapa tunapeana motivation ya namna gani ulianza kupanga ghetto na sio kujimwambafai na vitu ulivyonavyo ghetto au huko homeboy kwenu .Wasome headline vizuri

Haya tuendeleeni kupeana motisha
 
hapa tusema ni ghetto ama
IMG_20201206_220302.jpg
 
Geto langu

1)Home Office, Kuna meza na kiti za ofisini Executive, juu ya meza kuna vitabu, pin board, Simple whites notes board Pembeni ya meza na Laptop...hii ndio sehemu muhimu ya geto kwaajiri ya.
_Brainstorm new ideas
_Plans n Goals
_Learning n Training new things
_Writing

2)Home Gym, kuna setup ya Free Weight Dambell, Barbell, Yoga nap, flat bench...vyote viko katika sehemu ya geto inaitwa GYM.

3)Entatainment, hapa kuna Flat TV, PS Game na Home thieta hii sehehu kwaajiri ya burudani tu.

4)Fashio n Life Style, hapa kuna hanger ya nguo safi, Dressing table, chakuwekea viatu nk.

5)Design, Hapa ni urembo wa Geto hasa wallpaper ya ukutani nzuri.

Hizi Part za room zote zipo kwenye sehemu husika na zijachukuwa nafasi kubwa kimsingi mimi napenda kuwe nanafasi kubwa iliyobaki kwaajiri ya
_Workout
_Meditation
Ndio maana siweki Sofa na kitanda kikubwa.

NB: lijafikia huko bado geto ila nipo step by step step, geto langu kwaajiri ya interest zangu.

Yes
 
mm nna kitanda na godoro lake feni imeharibika ***** aizunguki tangu juzi,,
tv ipo king'amuzi sijalipia kama huumwezi wa pili sasa
kabati la nguo
meza ya jiko la ges na meza ya tv
,,,kwa kifupi chumba kidgo sana vitu vingi nikiwa napika chumba kizima kinajaa moshi daaab naboreka sana nikiwa mkubwa ntapanga chumba na sebure
Haaahaaahaaa
 
Hayo maisha nimesha yapita sasa ila nilienjoy sana. Nilipomaliza chuo niliendelea kukaa maeneo ya chuo coz michongo yangu nilikuwa nikifanya maeneo ya chuo.

So nilikuwa nikipata pata vipesa sana vya kulia bata na uzuri nilikuwa nanunua assets za kisasa, simu za kuanzia 1.6m nakuendelea.

Hakuna demu aliyewai ingia geto kwangu akachomoa. Nilikuwa napata sana changamoto ya kunganganiwa na mademu mpaka nikawa nakuwa naogopa kutongoza na kuwaleta hovyo getto kwangu. Tena hawa wanafunzi wa secondary kidogo waniletee hata msala.

Vitu Nilivyokuwa navyo naona ni vya kawaida sana kwa sasa ila miaka ya 2010 to 2015 havikuwa vitu vya kawaida kumiiiki kwa kijana kama mimi. Na sababu sikuwa na kazi mmaalumu wengi walibaki wakifikiri mimi ni usalma wa taifa kumbe mhuni tu mmmoja.

Ila sasa sijuu getto nyinyi vijana wa sasa mnatakiwa mwe na nini maana haya matv, sijui subwoofer, fridges ni nothing. Wadada siku hizi wanaangalia unaendesha ndinga ya namna gani bac.

So if you want to impress girls, have a ride.
Can I have a pic of your ride?umeniimpress
 
Back
Top Bottom