Wanaume tujifunze ni Vitu gani viwepo Geto vya kumdatisha Mdada ili arudi tena?

mimimi102

Member
Jan 6, 2021
23
37
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa

Mi nina :
1.Feni,Gesi,chumba kina Kapeti pia kuna smell good
2:Nina kafriji(hakagandishi ila ntakatengeneza)
3:sina TV ila nina Projector 100 inch ukutani na Azam tamthilia na movie hazikosekan
4:pc games za kutosha
5:Chakula cha kutosha pia(nafaka)

NB:Gari sina ila majaaliwa

[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]
Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba
twambie kwa uzoefu wako
Funguka
 
Kapeti safi

Sofa zuri

TV flat ,bandika ukutan

Kitanda safi na foronya laini

Friji ndogo ,hakikisah juisi hata ya palachichi haikosi

Feni nzuri ikiwezekana ac

Harufu nzuri ya kuvutia

Jiko weka kwingine

Hakikisha movie nzuri ,romantic ,season ,zote hazibanduki kwako

Demu akiingia hili geto walahi hatoki ,has a hawa wa DSM ,wanachuo utagonga mpaka ukimbie
 
Geto langu

1)Home Office, Kuna meza na kiti za ofisini Executive, juu ya meza kuna vitabu, pin board, Simple whites notes board Pembeni ya meza na Laptop...hii ndio sehemu muhimu ya geto kwaajiri ya.
_Brainstorm new ideas
_Plans n Goals
_Learning n Training new things
_Writing

2)Home Gym, kuna setup ya Free Weight Dambell, Barbell, Yoga nap, flat bench...vyote viko katika sehemu ya geto inaitwa GYM.

3)Entatainment, hapa kuna Flat TV, PS Game na Home thieta hii sehehu kwaajiri ya burudani tu.

4)Fashio n Life Style, hapa kuna hanger ya nguo safi, Dressing table, chakuwekea viatu nk.

5)Design, Hapa ni urembo wa Geto hasa wallpaper ya ukutani nzuri.

Hizi Part za room zote zipo kwenye sehemu husika na zijachukuwa nafasi kubwa kimsingi mimi napenda kuwe nanafasi kubwa iliyobaki kwaajiri ya
_Workout
_Meditation
Ndio maana siweki Sofa na kitanda kikubwa.

NB: lijafikia huko bado geto ila nipo step by step step, geto langu kwaajiri ya interest zangu.
 
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa

Mi nina :
1.Feni,Gesi,chumba kina Kapeti pia kuna smell good
2:Nina kafriji(hakagandishi ila ntakatengeneza)
3:sina TV ila nina Projector 100 inch ukutani na Azam tamthilia na movie hazikosekan
4:pc games za kutosha
5:Chakula cha kutosha pia(nafaka)

NB:Gari sina ila majaaliwa

[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]
Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba
twambie kwa uzoefu wako
Funguka
Baba hawa wadada wakiingia wakakuta hvo vit hawachoki geto
 
Apo tu ni sebule manzi ikifika ailuki
IMG_20200905_090408.jpg
 
Kapeti safi

Sofa zuri

TV flat ,bandika ukutan

Kitanda safi na foronya laini

Friji ndogo ,hakikisah juisi hata ya palachichi haikosi

Feni nzuri ikiwezekana ac

Harufu nzuri ya kuvutia

Jiko weka kwingine

Hakikisha movie nzuri ,romantic ,season ,zote hazibanduki kwako

Demu akiingia hili geto walahi hatoki ,has a hawa wa DSM ,wanachuo utagonga mpaka ukimbie
Mimi Nina ghetto Kali Sana Lina vigae kabisa na aluminium na pangaboy.
Ila kushawishi demu aje ghetto ni mtihani sana
 
Back
Top Bottom