Wanaume tuchukue hatua za makusudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume tuchukue hatua za makusudi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mukama talemwa, Jun 15, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama Wanaume wa kizazi hiki hawakuwa macho, karne ijayo , patakuwapo na wanaharakati wanaume wa kupambana na sheria kandamizi zitakazokuwapo katika utawala katili wa wanawake.
   
 2. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Hivi hii ni forum gani tena?? naona kama umepotea njia mkuu........
   
 3. e

  ejogo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Will never happen.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  hii kitu ni ndoto za mchana..tena ndoto za mchana kweupe sana
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  i see. . .
  Pole sana,
   
 6. M

  Mudamali Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa umelala umekurupushwa ukiwa usingizini?
   
 7. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  i see..... Kuna mwanamama anakukandamiza nini? Usikubali....
   
 8. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wat du yu min?Umewekwa kwenye kikaago nn?nashdwa shdwa kuelewa logic.Bt hata kama ni kipondo komaa bwana,ni dalili za kukata tamaa izo mku
   
 9. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  i see! Duh! Haiwezekani na wala haitakaa iwezekane, labda kwako tu mkuu!
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mwanamke ni mwanamke tu, na mwanamume ni mwanamume tu. Ni vigumu kukojoa umekaa alafu ukampiga mtu.
   
 11. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Na hizi hatua za makusudi tunachukuaje!!!?? Baada ya kunywa Chibuku au kabla?
   
Loading...