wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,085
- 1,059
Kama ambavyo inajulikana sie wanaume haturidhiki na mwanamke mmoja na tumezoea kuchovya chovya kama ambavyo tumerisishwa na ma babu zetu sasa tupeane trick ama mbinu za kisasa kabisa tunaweza kutumia ku cheat pasipo kujulikana.
Tuachane na hizi za kutumia app lock Sijui kuficha meseji,ama kuweka Sim silent usiku, ama kuongelea chooni, ku save majina ya kiume mtu wa kike, kusave majina ya viongozi wakubwa kumbe wasichana, kusave namba juu ya namba, kujikamatisha police ionekane ulilala nje kumbe ulilala kwa kimada, kujimwagia bia kutoa harufu ya Perfyum ya hawara, au kutumia simu ya tochi na line ingine na kuificha kwenye gari au ofisini tu all over the time, kuficha condom kwenye dash board, kupiga game na mchepuko mpya mida ya saa nne asubuhi ili had ifike jioni "janaba lishaisha" ingawa home wanajua upo job, kujifanya umesafiri kumbe upo Sinza guest, kulowesha soksi maji unazivaa na kunyata kumnyatia house girl ili miguu isipige kelele, kuweka font style ndogo kwa simu kwa ajili ya tuchat na hawara.
Nitazidi kutupia kadiri nitakavyo kumbuka ila hizi ni common tunataka tupeane new tricks ambazo zitatusaidia sisi kuleta ufanisi katika kuchepuka na kulinda mahusiano yetu kwa wale ambao mmeshindwa kujizuia.
NB: UKIMWI unau, mchekupuko sio dili baki njia kuu, utamu uleule utamu wa pipi mate yako.
Karibu kwenye mjadala.