Wanaume tubadilike, tuache tabia ya kuzaa na kutelekeza familia

Heeee!!! Mkuu Dada jibu hoja! acha jibu rahisi kwa swali gumu! niko vizurii! wee acha kabisa! kupiga injili ni popote!
Hoja gani unazotaka nikujibu?
Kuna mdau aliomba niongelee mtazamo wangu juu ya comment #84 ndiyo maana nikaongelea..
Naona umekazana kusema hainihusu wakati hukuniuliza wewe.

Msimamo wangu ni ule ule na niliyoyaongea ni yale Yale wala hayabadiliki na wewe Kama una hio tabia ya kuhalalisha dhambi kwa sababu fulani alifanya basi uache
 
Hakuna mtu mwenye uthubutu wa kumdhihaki Mungu Mkuu nakuhakikishia. na haijawahi kutokea, labda wewe unaweza! kwanza ulijuaje kuwa Mungu anaweza dhihakiwa? wamekudanganya sana, ituliprwa tahadhari kitambo sana Wagalatia 7;6 hapa Mungu anajua kudeal nao wenye dhihaka!

Lazima ujue Duniani hkn anaye penda Dhambi ukibisha muite mnywa pombe Mlevi uone, au Mwizi umuite cheo chake uone moto, mchawi, Malaya weee! ndiyo maana nasema waombeee!
Kumbe unajua Kama hadhihakiwi eeeh?
Basi Neno linasema msidanganyike, Mungu hadhihakiwi,maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Na msiifuatishe namna ya dunia hii,aipendaye dunia kumpenda Baba hakupo.

Na ukitaka kumfwata Yeye lazima ujikane.
Endelea kutetea dhambi baba.
 
1.UAMINIFU
Mwanamke anakutangazia ana mimba yako, mimba hiyo hiyo ambayo ashawaeleza watu wa3 ambao amekuwa na mahusiano nao&kulala nao kwa nyakati tofauti,na wakakubali, inamaana watu wa4 mnalea mimba 1, unategemea kwamba mimi nitaendelea kulea huyo mtoto endapo nikifahamu hilo?

Kwa suala la mtoto kufanana na baba sio lazima ila angalau inaleta ujasiri kwamba huyo ni mwanao, ila sasa unakuta mtoto amefanana na mama yake! Wala hajafanana na mtu yoyote kati yenu, hapo wakijua nani atalea huyo mtoto??
Dawa ni kupima DNA
 
Hoja gani unazotaka nikujibu?
Kuna mdau aliomba niongelee mtazamo wangu juu ya comment #84 ndiyo maana nikaongelea..
Naona umekazana kusema hainihusu wakati hukuniuliza wewe.

Msimamo wangu ni ule ule na niliyoyaongea ni yale Yale wala hayabadiliki na wewe Kama una hio tabia ya kuhalalisha dhambi kwa sababu fulani alifanya basi uache
Shetani hakuwahi kutubu na wala hata tubu, Lake ziwa la moto tu
 
Before DNA? Nani atalea mtoto...?

Halafu sio kitu simple kufanya hiyo DNA,
Gharama+Process+Muda.

Kipindi hicho chote nani atayelea huyo mtoto? Ngumu sana.
Sasa boss Ni Bora upoteze muda kufanya kitu kitakachokupa jibu sahihi kuliko kuendelea kulea mtoto ambaye huna uhakika Kama ni wako au si wako.

Hiyo DNA kuna sehemu nilishawahi Soma huyu,kuna mdau aliwahi kupima..haina gharama sana kama watu wengi wanavyoamini.
 
Kumbe unajua Kama hadhihakiwi eeeh?
Basi Neno linasema msidanganyike, Mungu hadhihakiwi,maana apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Na msiifuatishe namna ya dunia hi,aipendaye dunia kumpenda Baba hakupo.

Na ukitaka kumfwata Yeye lazima ujikane.
Endelea kutetea dhambi baba.
Mungu hakusema hivo naingia chaka. mavuno siyo
 
Wanawake waache ujinga wa kutega tega ovyo lengo uzae na mtu wakati yeye hajajiandaa kuwa na mtoto. Pambaneni
 
"Thamani ya mtoto ipi kwenye uchi wa mamaye"...alisemaga mhenga mmoja ivi..
 
Hakuna kitu kibaya kama kutelekeza familia. Jana nimepata kukutana na dada mmoja amezaa na jamaa flani huyo jamaa ana kazi nzuri tu ila ukimcheki Dada mwenyewe kachoka kweli hata kazi anayofanya ni shida tupu.

Ukimuuliza anasema jamaa amemtelekeza yeye na mtoto, pamoja na kuwa na hela lakini hajali kabisa mtoto wake.

Hivi mtu kama unaweza kuwa na mahusiano naye kwanini ushindwe kulea mtoto wako au hata mama mtoto ukamtafutia kazi ya maana ili amtuze vizuri mwanao.

Utasikia tukijisifu vijiweni kwamba nina mtoto wangu yupo na mama yake sehemu flani ila hujui kama kala, kavaa ama anaishi vipi.

Tuache hii tabia mazee tunajiwekea laana ambazo hazina msingi mwisho wa siku unatafuta maisha hufanikiwi kumbe ulidharau vitu kama hivi.

My advice: Hakuna mimba ya bahati mbaya ukishaamua kulala na mtu na unajua hukutumia kinga no way out for the consequence.

Jiandae kulea, kuzaa zaa na kuwaachia wanawake walee tu sio uanaume wala wazazi/wazee wetu hawakua hivyo ndio maana walifanikiwa kuwa na familia bora.
Mkuu weee !! acha tu manamake mengine machawi hasa!! linakuroga ufukuzwe kazi!!! tena ukilipa hela likizoea siku likikosa weee!! ndo mwanzo wa kukuroga!! mzoeshe kukosa hela ivoivo ajue kuwa weyey ni kauzu..... lkn ukijifanya eti unajali weeee!! anajua na ana amini wengine ke wako unawapa zaidi na lenyewe litaomba zaidi, lifungue miradi haya ridhikagi haya majitu si wote lkn!

hela mpe mkeo! tu! au mama yako!
 
Hayo Mambo mbona yanarekebishika?
Kila mmoja ana madhaifu yake,
Kwahiyo akileta ukichomi ndio umuache pasi na kumrekebisha?
Utaacha wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Vichomi mpaka vinakunya juu ya dari kukukomoa! ufukuzwe kazi!! wkt unakipa chenyewe hela! vinarogwa sana na bibi zao mzaa shangazi zao na bibi!! sasa wewe jifanye mganga na wewe unarogwa vile vile!!! unaacha kazi!

chukua mwanao kimbia usitizame nyuma tena wanakuambia ndotoni kabisaaa, mtu akisema kimeo ana maanisha! muelewe ujifunze! siyo ujifanye eti unamadhaifu kuna madhaifu mengine unacheza na vitasa vya kifo! mateso, uzombie! hayaaaa weee!!

badala ya kula bata uboreke eti ukahangaike na watu wenye vikwapa ambao wana wazazi wao! utakuwa kikwapa tu!
 
Back
Top Bottom