Wanaume tuache Dharau kwa wanawake.. Tumboni talianza kuwa wanawake

ngulyavyangu

JF-Expert Member
Jan 9, 2019
203
266
Huo ndo ukweli
1993752840761386790.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu....
Hiyo ni urethra kama inavyo onekana kwenye picha nilio iambatanisha hapa.
Na Urethra ya mwanaume ni tube nyembamba ya fibromuscular ambayo inafanya mkojo na shahawa kutoka kwenye kibofu cha mfuko kwenye korodani kwa mtiririko uliopo kwa nje ya mwili. Ijapokuwa urethra ya kiume ina muundo mmoja na inajumuisha mfululizo wa makundi tofauti kama prostatic, membranous, na spongy.
20190306_222249.jpg
 
Back
Top Bottom