Sio kweli mkuu....
Hiyo ni urethra kama inavyo onekana kwenye picha nilio iambatanisha hapa.
Na Urethra ya mwanaume ni tube nyembamba ya fibromuscular ambayo inafanya mkojo na shahawa kutoka kwenye kibofu cha mfuko kwenye korodani kwa mtiririko uliopo kwa nje ya mwili. Ijapokuwa urethra ya kiume ina muundo mmoja na inajumuisha mfululizo wa makundi tofauti kama prostatic, membranous, na spongy.