Wanaume toka tunaumbwa ni watu wa kujisahau Hawa wakati anadanganywa na nyoka Adam alikuwa wapi?

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Wakuu habari za asubuhi,

Hii mada nimeileta kwenu waungwana wanaume wenzangu kuwakumbusha na kuwashauri tuache kujisahau na baadae kuja kulalamika wanawake wabaya hiyo haifai wazee

Nimekumbuka hata kiss cha kwenye maandiko hicho kinaonyesha wanaume tunavyojisahau tangu Enzi na enzi embu jiulizeni wakati nyoka anamdanganya Hawa , Adam alikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom