wanaume sometimez mnaboa nyie !!!!mkoje lakini teh teh

mimi sidhani kama kuna tatizo, je kama ana wake wawili kwa wale waislam amtambulishe hawara wakati ni mke wake?


Hata kwa waislam, mke ni tofauti na hawara ndugu.
Hawara ni mwanamke wa pembeni ambaye hajaolewa na mhusika.Yaani hakuna Nikah
 
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana

huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1

...kwani "shemeji yenu" maana yake nini?
si linatokana na kuwa na mahusiano ya kimapenzi, au?...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom