Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
huyo anakuwa hana soni hata kidogo ..
wanawake ni wenye staa tofauti na wanaume
Mhhh inategemea N'tu na N'tu ooh karagha baho
huyo anakuwa hana soni hata kidogo ..
wanawake ni wenye staa tofauti na wanaume
Morning binamu? How are you and your he?
We are very fine,hivi nawe una hizo tabia? za kumtambulisha wife kwa rafiki zako kama shemeji yao,then kesho unakuja na new face nayo unaitambulisha kuwa ni shemeji yao,nawe upo kwenye hiyo club?
Hiyo ndio njia nzuri ya kutambulisha, ukitambulisha kwa namna nyingine may be mtoto wa dada au mpwa rafiki zako hawachelewi kummega a.k.a kumla mwili. Kwa hiyo inabidi kuwa mkweli ili kupunguza risk ya kumegewa g/friend wako.
probably ZD,I have ONE and ONLY ONE wife.
Shemeji hapo kwenye hiyo red unanitisha? unaishi kwa matumaini?hebu fafanua.(ohhps sorry ,off point kumbe)probably ZD,
hahahahah!hebu ninyi couple gongeni senksi hapa niendelee kuwanadi.unajua senksi zinaongeza cd-4?
unaogopa sana?Shemeji hapo kwenye hiyo red unanitisha? unaishi kwa matumaini?hebu fafanua.(ohhps sorry ,off point kumbe)
probably ZD,
hahahahah!hebu ninyi couple gongeni senksi hapa niendelee kuwanadi.unajua senksi zinaongeza cd-4?
FL1
,hiyo kuwekeana siri ni hata kwenye mambo mengine kama watoto wa nje na miradi mikubwa mikubwa (Biashara).Utakuta wanakuchekea kweli shem,shem ,kumbe bwana wanakungo'ng'a pembeni.sometimes viumbe hawa ni wabaya kweli.
What comes around,goes around!!nyie hamjioni mnatuona sisi tuu,kama yamekukuta pole sana sina msaada juu ya hilo!!Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana
huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1
What comes around,goes around!!nyie hamjioni mnatuona sisi tuu,kama yamekukuta pole sana sina msaada juu ya hilo!!
...Safi sana Crispin...umenikumbusha mbali sana!!!! Kiukweli ukimega na washkaji wanajua kamzigo lazima uwa-introduce machaliii wako!!!Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
...Safi sana Crispin...umenikumbusha mbali sana!!!! Kiukweli ukimega na washkaji wanajua kamzigo lazima uwa-introduce machaliii wako!!!
ukishamtambulisha,akinywa bavaria yake akisepa tu unawaambia wana..."HAMNA KITU PALE,KICHECHE TU KILE!..HALAFU KIMENIZIMIKIA MBAYA!kila siku nakiambia nimeoa hakielewi,kinalazimisha nimuache waifu.madem wengine bana!........''Si unajua usipowatambulisha hawachelewi kukumegea mpwa?
ukishamtambulisha,akinywa bavaria yake akisepa tu unawaambia wana..."HAMNA KITU PALE,KICHECHE TU KILE!..HALAFU KIMENIZIMIKIA MBAYA!kila siku nakiambia nimeoa hakielewi,kinalazimisha nimuache waifu.madem wengine bana!........''
Na wanawake wanaboa sana yaani unajua mtu ameoa lakini unamkubali hadi inafikia anaamua kuktambulisha kwa rafiki zake eti huyu shemeji yenu wewe bado hautaki kukanusha....hehehe perfect way to get back.
Kuna mmoja alikuwa anajifanya anampenda sana mke wa rafiki .mala aende akale launch dinner nk,nk
kumbe chini kwa chini anashauri rafikie aoe mke wa pili amzalie mtoto wa kurith mali kwa vile mkewe ni mwaka wa 11 hajazaa ....
sipati picha
Hii nayo safi sasa mwanaume unaishi hata mtoto huna wapi na wapi bana.