Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?

Inaumaaaaaaaaaaaaa.
nni inauma................hyo naniliu au???au umeumia kidole akati unaclick button mana umeandika kwa hasira sanaLindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?
Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?
Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!
Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu?
kwa majibu haya
tunaweza pia kusema wale abiria wa meli iliyozama kule zanzibar
ukiacha watoto wadogo....wengine wote walijitakia?
si waliona imejaa na hakuna nafasi lakini wakaingia hivyo hivyo??????
hili ni swali tu,sio mtazamo wangu.....
Tafadhali sana usilete mfano wa roho za watu waliokuwa wanasafiri kufananisha na hii zinaa ya kubebeshwa mimba.

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?
Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
sorry
najaribu kukujibu kuwa common sense is not common
tukianza kulaumu watu kwa maamuzi wapi tutaweka mipaka?
Sawa Bi.Fitna Ponza wa kipindi cha LEO TENA...

Ulivyomfungulia kufuli ulitaka afanye nini? wakujichunga na kujilinda ni wewe mwenye mali na sio mla mali. Kwa hili nawatetea wanaume. Ukijirahisisha wao wanafanya, kwani mzigo wanabeba wao?

Mkome kuwafungulia kufuli zenu mpaka watakapo waoa. la sivyo msije kulalamika hapa JF au kwingine kokote ni ukware wenu wenyewe uliowafikisha huko. Mbona sie tumejichunga na hatuna hayo matatizo ya kijinga?

Kama wamekubaka na kukuingilia kwa nguvu hicho ni kitu kingine, lakini kama ulienda mwenyeeeewe?, khaaa unanchekesha!

Tena bahati yako kama ni mimba tu, suki nyingine ni mimba na mdudu (HIV) juu. Hapo ndipo uje kulalamika vizuri. Hivi huwa mnategemea nini mnapo funguwa hivyo vikufuli vyenu? Tena wala si kufuli, hivyo vi kanda-mbili vyenu?
Wengine hata hawajakataa watoto... But ni baba jina.... inauma zaidi, it is better ujue wewe ni single parent kuliko unalea watoto wako kwa kila kitu... hana hata habari, akija salimu watoto hata kama baada ya mwaka, anaishia kuwapa alfu 10 or 5 watoto ni wadogo, they don't understand wanafuraaaaahi kua dad kaja katuachia hela.... (alfu 10 baada ya mwaka... kama anakutusi vile na kukuonesha kua sitafanya kitu lakini watoto ni wangu and they adore me...) aaaarrrrrgggggh!!!
Hili jambo liko very Complex.......... wakati mwingine binti anaweza kubeba Mimba... yawezekana kwa bahati mbaya au kwa kukusudia ili aolewe, lakini wazazi wakigundua kuwa mwenye mimba hana back ground nzuri, let say financially au kabila,(kuna wazazi wengine huwakataa wachumba wa watoto wao kwa sababu ya kabila) na wakati mwingine hata dini. Labda niseme tu kwamba swala la dini ndio limechukua nafasi kubwa katika maamuzi ya wazazi kuhusu ndoa za mabinti zao. Je kama kijana ataamua kuoa mke mwingine na kutokana na kutokuwa stable financially akashindwa kubeba majukumu ya pande mbili yaani kuhudumia mtoto wake wa nje na kuhudumia familia yake, wa kulaumiwa ni nani?
Hapa nadhani wazazi wanatakiwa waubebe huo msalaba kwa sababu wao ndio chanzo cha kuvunja mahusiano ya mtoto wao na kijana.......
Kuna wakati yawezekana kabisa kijana anayo nia nzuri ya kumlea mtoto wake lakini uwezo huo hana. Je afanyeje? na ikumbukwe kwamba baba hawezi kumchukua mtoto akiwa na umri mdogo, kuna umri maalum ambao unaruhusiwa kisheria baba kumchukua mtoto.
Ninayo mifano mingi kuhusiana na jambo hili na ndio maana nikasema lina mkanganyiko mkubwa.