Wanaume Shortcut ni Bora.

Mzee baba, tunazidiana saana mbinu za kutongoza. Amini hivyo.

Ukiingia na mtongozo mzuri kwa mwanamke yeyote.
First appointment itakuwa ni Lodge au geto kabisa kumaliza hesabu.

Au first appointment yenu mnakutana kwenye sehemu ya chakula, mkitoka hapo mnamalizia lodge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure nigga

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asee mnaoweza kununua maraya hongereni. One decent girl is all i need. Nakua napiga with no extra costs maana ni mpenzi wangu. Kama kula sehem standard tu inatosha sio KFC wala ukwaju! Show offs zitawaua vijana badala mfanye vitu vya maana. Demu kama hakubali mikato yako basi potezea wako wengi watakuelewa ukiwa real!
 
Kwel kaka asee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shamba :D
Over and out.
 
Back
Top Bottom