Wanaume pisheni wajawazito wakae kwenye daladala. Mimba mtie nyie halafu mnataka Wanawake wawapishe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Nimeona kwa muda mrefu daladala zikiwa zimejaa unakuta kuna Wanawake wajawazito wamekosa viti wamesimama huku wanaume wakiwa wamekaa tuli hawawapishi.

Mara nyingine mianaume isiyokuwa na haya unakuta inajitia kuongea kuwa Wanawake waliokaa kwenye viti Wana roho mbaya hawataki kupisha wanawake wenzao Waja wazito wakae.

Wanaume ndio wanatakiwa kuinuka kwenye viti kupisha mimba zao zikae.

Mimba mtie nyie wanaume halafu viti wapishe Wanawake.Mkome kabisa maruhuni nyie.Nyie ndio mnatakiwa kuinuka sio ombi.
 
Tuliza mshono mkuu, unaweza kuta huyo mwanaume aliekaa ana matatizo zaidi ya huyo mjamzito.

Halafu wa kulaumiwa sio wanaume bali sheria za nchi yako kuruhusu abiria wasimame na pia huyo mjamzito kwa nini apande gari lililojaa?!!
 
Nasisi mahanithi tusioweza kutia mimba unatushauri vipi?
Uwe unatembea na Ripoti ya daktari kuonyesha kwa mja mzito aliyesimama kuwa wewe hanithi ili uwe excluded.Hata akiweko mwanamue mwingine mwenye tatizo la kiafya atembee na cheti Cha daktari Cha kuonyesha
 
Kusimama ni sehemu ya mazoezi kwa mjamzito kwann mnapenda urahisi ndo maana kila siku mnapasuliwa matumbo wakati wa kujifungua
Unadhani huyo mjamzito anaishi karibu na kituo Cha daladala? Mwendo aliotembea na mimba Yake Toka nyumbani Hadi kituo Cha daladala Ni zoezi tosha hahitaji lingine kwenye daladala.Wengi wanaojifungua kupasuliwa Ni hao ambao mimba zao hupelekwa na kurudishwa kliniki na magari binafsi Kama ma Prado,benzi nk Sio wapanda daladala
 
Nimeona kwa muda mrefu daladala zikiwa zimejaa unakuta kuna Wanawake wajawazito wamekosa viti wamesimama huku wanaume wakiwa wamekaa tuli hawawapishi.Mara ingine mianaume isiyokuwa na haya unakuta inajitia kuongea kuwa Wanawake waliokaa kwenye viti Wana roho mbaya hawataki kupisha wanawake wenzao Waja wazito wakae.

Wanaume ndio wanatakiwa kuinuka kwenye viti kupisha mimba zao zikae.
Mimba mtie nyie wanaume halafu viti wapishe Wanawake.Mkome kabisa maruhuni nyie.Nyie ndio mnatakiwa kuinuka sio ombi.
Acha ku generalize mambo ww mimba akupe bwana ako siti nikupishe Mimi..

Kwanza kabisa kwa nin upande gari unaona kabisa imejaa.

Pili unajuaje labda waliokaa wana matitizo zaidi yako.

Tatu kusimama ni mazoezi kwa mjamzito.

Nne ujauzito sio uginjwa sisi mama zetu walikua wajawazito na shamba wanalima masaa 5 hadi 6 na akirud nyumban na mzigo wake wa kuni kichwani bila tatizo lolote.
 
Mimi nina sheria yangu. Sipishi mtu
Ukiona gari limejaa usipande subiria jingine
Yaani unakuta mtu kazunguka na gari afu mtu na kitumbo chake cha miezi 5 Kaka naomba kukaa
 
Huyo mwanamke ambaye amepewa mimba na wanaume wote naye ni wa hovyo hafai hata kupanda daladala siyo tu kupewa seat.

Kwa yule ambaye amepewa mimba na mwanaume mmoja aliyempa mimba ndiye atakayempisha. Ni ujinga upewe mimba na mwanaume mmoja halafu wengine waje wakupishe siti kwenye daladala. Wakati unachanuliwa miguu walikuwepo?

Hizi akili sijui ndo wanaita kichaa cha mimba. Kwenye daladala kila mtu ana haki ya kukaa kwenye siti.kama kigezo ni wewe kupokea mimba. Wakati unapokea sisi wengine tulihusika vipi? Unapopokea mimba muulize mpaji kuwa ukiwa kwenye daladala suala la wewe kukaa linakuaje. Akupe majibu kabla hujapokea.

Sasa kwa upumbavu wako unataka upewe mimba na shomari aje kukupisha siti buhari? Hii akili ya wapi?tukisema na sisi muwe mnatupisha siti tumetoka kugegeda tumechoka patakalika kweli?maana bao moja ni kama mwanaume kakimbia km 14. Sisi tukipiga bao 3-5 inakuaje? Si kama mtu amekimbia mpaka chalinze?

Back
Top Bottom