Wanaume njooni hapaa

Double square

Member
Feb 15, 2016
58
16
Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n mwanaume anaejielewa kweli
 
we dogo leo iwemwanzo na mwisho wako kuita wanaume nakutuelezea ulofa wako wa fb na what's ap pumb..v..
 
Ningekuwa karibu ningejikumbushia ile kitu inaitwa konz.i .....huwezi ita wananume alafu unashindwa kuwaelezea nn ulichowaitia...
 
Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n mwanaume anaejielewa kweli
Wanaume wa Dar....
 
hahaha n
FB_IMG_1461816575181.jpg
 
Mshamkimbiza mwenzenu..Kaingia mitini baada ya kupata mashambulizi ya nyuki:D:D:D Watu wabaya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom