Wanaume njooni hapa tujipongeze kwanza !!! Tunasitahili...

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,275
Likes
18,757
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,275 18,757 280
Nani anabisha nyuzi nyingi humu za mahusiano no za Wanawake kuwalilia wanaume ????

Nani anabisha wanawake ndo wametia fora katika kutafuta Ma boyfriend na Wanaume ??????.

Nani anabisha mwanamke mpaka anakuja kutangaza kutafuta mwanamme humu ,,basi uko nje kashindwa na wenda kuna jambo linalomfanya huko makazini wamfumbie macho ?????.

Nani anabisha wanawake wanaotafuta wenza humu wanashindwa kufanikiwa kwasababu wanaji project kwanza maisha yao alafu ndo wanaweka vigezo ??????..

Jaman hatuoi mihips au minyama nyama yenu iyo ,,hatuoi kazi wala kipato chako ,, hatuoi minyonyo wala miguuu wala hatuoi sura au rangi yako ,kwaufupi hatuoi kwanamna unavyo Project yourself machon kwetu.


Mwanamme popote ulipo uwe mdogo kiumri au mkubwa kiumri ,,popote pale ulipo ,nawapa tanooooooooooooooo. ,,sisi hata tukiwa namiaka 50 bado tunatangaza ndoa nawanakuja wengi unawafanyia intavyuuuuuuu..


* ladies ,, A woman's polite devotion is her greatest beauty*
a5694f19a86721b24897c971ac23e803.jpg
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,448
Likes
6,361
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,448 6,361 280
iko hivyo mke ni yule mwema, smart kichwani, mwenye adabu,msikivu, mcheshi, mpole, mchumi, anayeridhika na dushe 1, mpambanaji, mlezi mzuri wa familia, anayejua mume ahitaji nini...sasa hawa wanaojivunia sura na misambwanda hawa watakuwa ligi daraja la tatu kila siku, watacheza ndondo cup mpaka mwisho
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,275
Likes
18,757
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,275 18,757 280
Asante kwa kichambo mkuu, ila kutia fora sio dhambi ati
Kabisaa wala hata sio dhambi....

Sasa ndo msichague sana ..alafu ujue thaman ya mwanamme akiwa bado singo IPO hapa 20--26 .... Baada yahapo zinaanza bahati....
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,275
Likes
18,757
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,275 18,757 280
Wanawake wamejisahau kuwa wao ni nguvu inaletayo mabadiliko kwa mwanaume na ndio walinzi wa mwanaume ndio maana wamechacha
Kabisaa yaaan wameshindwa kuchukua nafasi zao kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,235,832
Members 474,742
Posts 29,237,538