Wanaume! Nimewaita, pimeni DNA watoto wenu wanapozaliwa

Kwani ukimlea unapungukiwa nini mkuu?? We lea, itakua baraka pia. Kwani ww una uhakika aliyekulea ndio baba yako 100%, kama hauna usijipe stress, dunia tunapita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo kulea tu, tatizo ni kulea mtoto ambaye siyo wako huku ukiaminishwa ni wako au ukijua ni wako.

Sisi mbona tunalea watoto yatima, tunalea watoto wa dada zetu, watoto wa ndugu zetu, sababu tunajua hawa si watoto wetu tangu mwanzo.
 
Je kisheria unaweza kuomba kupima DNA bila kuwa na sababu ya kimsingi au ridhaa ya mama wa mtoto?

Ahsante
 
Back
Top Bottom