Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

Na baba wa mtoto huyo anawajua sio/ umri sio kigezo Ila uhalisia ndo hivo mwanaume kulea mtoto ambaye sio wake atalea lakini sio kwa mapenzi ya dhati ndo maana nasema huyo mume wa huyo dada sio mnafiki na ampende Ila ukipata mwanaume mnafiki ataonesha kumtunza lakini moyo haupo huko
Mapenzi hayawezi kuwa sawa kama wa kwako siku zote damu huwa nzito kuliko maji.

Lakini wapo wanalea na mpaka watoto wanakuwa kwa amani kabisa.
 
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1
Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri ikalazimika mama kwenda kwa kaka angu ivyo ikabidi nikamchukue mtoto nikae na huyu mume wa sasa hakua na tatizo
Kilichonifanya nije hapa huyu mwenzangu anakipato kizuri tu anasomesha mdogo wake 1
Na watoto wa dada ake ambae hana uwezo wawili 2 wote private
Imagine likizo ikiisha wanakuja nyumbani anaenda anawalipia ada na kuwanunulia mahitaji yote ya shule wa kwangu hata daftari tu hakuna yan hata ile begi la shule
Silamimiki amsomeshe ada hua nalipa mimi lkn kweli unaishi nyumba moja na mtoto anakuita baba hata uniform tu hamna mbaya zaidi uwezo unao unawajali wadogo zako tu yan hua naumia sana
Mwaka jana niliongea nae nikamwambia aache uabaguzi lkn nadhan moyoni hataki tu
Mwaka jana pia ikitoka mtoto wangu alifukuzwa ada alikua anadaiwa laki 1 mimi nilikua bestest naumwa ndani ivyo biashara zangu zikasimama nikamuomba naomba laki moja nimlipie ada mtoto akaniambia subir mtoto akakaa nyumban, Mungu alivyo wa ajabu baada ya wiki mdogo wake akasimamishwa ajabu akamlipia mdogo wake laki 3 hata siku moja hakuacha kwenda shule wangu hakumlipiaa mpaka nikaenda kukopa.
Huyo mwanaume ni mpumbavu wanaume huwa tunaogopa singlemother ambao baba zao wapo hai tu.
 
Pole sana kwa yanayokusibu ndugu. Nadhani unapokuwa single mother ukianza mahusiano hakikisha mwanaume ana mpenda mtoto kwanza kabla ya kukupenda wewe.

Ni ngumu kuwapata lakini wapo

Hiyo haipo hivi kwa akili yako wewe unavyoanda mahusiano na ex wangu , utampenda Kwanza Toto langu nililozaa kwa mauno yangu ndo umpende huyo niliyemzalisha?
 
Pole sister hii inaumiza ,japo kiuhalisia wanaume wengi Kama sio wote wako hivo hata mm hapa nimewahi date na single mothers Kama watatu Kama sio wanne Na wote nilio date nao nilikuwa nawaahidi nawaoa lakini nikikumbuka kuwa Wana watoto stimu zinakata kabisa yaani afu ukiangalia manzi mzuri Ila shida ni mtoto, yaani kutunza mtoto ambaye sio wako inauma aisee japo hata Kama anahudumia atafanya kinafiki lakini kiuhalisia ni ngumu Sana ,yaani Mara Mia nitunze mdogo wa mke Ila sio mtoto wake aliyezaa na mtu mwingine, ushauri wangu usije kumwambia au kumshirikisha matatizo yoyote yanayohusu mtoto maana utakuwa unamkwaza (maana Kuna dada mmoja naye akawa ananiambia nimpe nauli ili akamchukue mtoto wake daa iliniuma Sana japo sikumwonesha nimeumia na ukizingatia baba wa mtoto yupo )yaani ukiona tatizo lolote linalohusu mwanao Bora umwambie Kaka au ndugu yako wa damu Ila sio mumeo na huo ndo ukweli maana inaweza kuwa sababu ya kuachana
Napigilia msumari hii. Hamna mwanaume atampenda mtoto wa mwanaume mwenzie. Wee ukishakuwa single maza amua moja either uwe single mpaka kufa ama kubaliana na drama kama hizi toka kwa mume.
 
Pole sana kwa yanayokusibu ndugu. Nadhani unapokuwa single mother ukianza mahusiano hakikisha mwanaume ana mpenda mtoto kwanza kabla ya kukupenda wewe.

Ni ngumu kuwapata lakini wapo
Acha kumdanganya mwenzio. Hayo mambo ya kumpenda mtoto kabla ya kumpenda yeye haiwezekani. Knakuoenda wewe na mbususu yako huyo mtoto siwezi mpenda sana sana nitamuhudumia tuu lakini sio kumpenda
 
Kwa nini stimu zikate kisa mtoto ambaye kiuhalisia hana hatia, kama wa huyo mleta mada baba keshafariki.

Kwa nini usiwe na mawazo kwamba huyo mtoto naye anahitaji baba kama wengine.
Yaa wengi wetu hatuna hio busara unaweza kuwa nayo kwa muda Fulani lakini Kuna muda utajikuta upendo haupo hata ujitahidi vip
 
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1
Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri ikalazimika mama kwenda kwa kaka angu ivyo ikabidi nikamchukue mtoto nikae na huyu mume wa sasa hakua na tatizo
Kilichonifanya nije hapa huyu mwenzangu anakipato kizuri tu anasomesha mdogo wake 1
Na watoto wa dada ake ambae hana uwezo wawili 2 wote private
Imagine likizo ikiisha wanakuja nyumbani anaenda anawalipia ada na kuwanunulia mahitaji yote ya shule wa kwangu hata daftari tu hakuna yan hata ile begi la shule
Silamimiki amsomeshe ada hua nalipa mimi lkn kweli unaishi nyumba moja na mtoto anakuita baba hata uniform tu hamna mbaya zaidi uwezo unao unawajali wadogo zako tu yan hua naumia sana
Mwaka jana niliongea nae nikamwambia aache uabaguzi lkn nadhan moyoni hataki tu
Mwaka jana pia ikitoka mtoto wangu alifukuzwa ada alikua anadaiwa laki 1 mimi nilikua bestest naumwa ndani ivyo biashara zangu zikasimama nikamuomba naomba laki moja nimlipie ada mtoto akaniambia subir mtoto akakaa nyumban, Mungu alivyo wa ajabu baada ya wiki mdogo wake akasimamishwa ajabu akamlipia mdogo wake laki 3 hata siku moja hakuacha kwenda shule wangu hakumlipiaa mpaka nikaenda kukopa.
Pole sana, Mungu akutunzie na Mungu hatakuacha endelea kumtegemea Mungu wako huyo ndiye atakuwa best wako, hao watoto wa dada yake wakimaliza shule na kupata kazi wote majeshi yatahamia kwa wazazi wao hatawaona wewe mwache iko siku mtumaini Mungu, wanaume wengi niwabinafsi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana sana.
Yaani sana tu. Ndio maana ni vizuri kuoana na mtu ambaye bado hana mtoto. Yaani kuna namna tu yule mtoto hautampenda. Tena bora mzazi mwenzake mkeo awe amefariki , akiwa hai ndio kabisaaa.
Dah, mbona anapendeka tu mtoto huwa sio ishu kama baba yake anamhudumia fully au wewe uko fully responsible! Huwa inaondosha hizo sintofahamu zote.

Kinachoboa ni upashaji viporo wa ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom