Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua

Tuombe radhi, sisi tunawake tunalala nao usiku kucha na kufanza utatuambiaje tunakwenda ofisini bila kuoga. Tutaendaje ofisini na janaba, tafadhali mama!!!

adhi
Mi mwanaume wangu hawezi kutoka bila kuoga labda kama sipo hapo nyumbani
 
Labda wanaume wa dar sie wa mkoani hata tukiwa tunagegedana kichakani ikanyesha huwa hatusitishi zoezi sembuse kuoga.
Naskia huko mmeamua kufunga shule kisa mvua.
 
Bora umewakumbusha maana wanajisahaulisha mno kwa kigezo cha baridi!wananuka uvundo tu mfyuuu!
 
Back
Top Bottom