Wanaume naomba ushauri wenu make mume wangu simuelewi

Mwanaume wa kweli hanuni, tena mwingine akiwa amekasirika huwezi hata kumstukia
 
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwambie sababu na ukimuuliza nini mbaya unaweeza ukalamba
hata vibao. si mara moja ili swala kujitokeza ndo mana nimeona nilete jamvini. na anakuwa na majibu ya mkato na hasira endapo nitamuuliza kitu. yani nakuwa sina thamani kwake. na naweza nikawa nyumbani na apigi kwa simu yangu anapiga ya dada na anaweza sa nyingine akarudi usiku wa manane na yupo chakali. sasa na jiuliza uu ni ugonjwa ama pepo. akiwa ajaninunia yupp sawa na ni mume mwema. ila haiwezi pita miezi 3 ajaninunia.

je mnahisi ana tatizo gani? mi nampenda sana mume wangu. ila kama binadamu akiwaga na khali hiyo nami uwa naumia mpaka sa nyingine nawaza yasiyo wazika.

Yasiyo wazika ni yapi hayo Dada?

Angalia tabia zako na uwezo wako katika kazi;
mahusiano yako na Jamii na aina ya marafiki ulionao;
tabia yako kabla ya ndoa;
sifa na mienendo yako kabla ya ndoa na sasa;
Je una msaada gani kwa mumeo?;
Uwezo wako wa uelewa hasa katika mambo ya kifamilia;
Unachangia nini katika familia yako au wewe kazi yako ni kuangalai TV tu! Kila kazi anafanya House maid?;
Elimu yako ni ya kiwango gani? na je unajiendeleza hata kwa njia ya mitandao na Posta?
Unajua kupika au ndio wale ambao mme ana kisukari lakini hata vyakula vya wagonjwa wa kisukari huvijui na hata hujui kuvipika!?;
Unajua mambo ambayo mmeo anavipenda? Au unajifanyia tu kila jambo bila uweledi wowote?
 
Kua mbunifu dada jufunze ukomedi....ni vizuri wakati wa kula ukawa na story za kuvutia.......mumeo akinuna we mwache tu wala usimhoji kwani sio kila kitu mnahitaji kuambiwa....Dada madeni katika biashara nalo neno
 
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwambie sababu na ukimuuliza nini mbaya unaweeza ukalamba
hata vibao. si mara moja ili swala kujitokeza ndo mana nimeona nilete jamvini. na anakuwa na majibu ya mkato na hasira endapo nitamuuliza kitu. yani nakuwa sina thamani kwake. na naweza nikawa nyumbani na apigi kwa simu yangu anapiga ya dada na anaweza sa nyingine akarudi usiku wa manane na yupo chakali. sasa na jiuliza uu ni ugonjwa ama pepo. akiwa ajaninunia yupp sawa na ni mume mwema. ila haiwezi pita miezi 3 ajaninunia.

je mnahisi ana tatizo gani? mi nampenda sana mume wangu. ila kama binadamu akiwaga na khali hiyo nami uwa naumia mpaka sa nyingine nawaza yasiyo wazika.

Spirit of Anger! muombee atapona tu.
 
Yasiyo wazika ni yapi hayo Dada?

Angalia tabia zako na uwezo wako katika kazi;
mahusiano yako na Jamii na aina ya marafiki ulionao;
tabia yako kabla ya ndoa;
sifa na mienendo yako kabla ya ndoa na sasa;
Je una msaada gani kwa mumeo?;
Uwezo wako wa uelewa hasa katika mambo ya kifamilia;
Unachangia nini katika familia yako au wewe kazi yako ni kuangalai TV tu! Kila kazi anafanya House maid?;
Elimu yako ni ya kiwango gani? na je unajiendeleza hata kwa njia ya mitandao na Posta?
Unajua kupika au ndio wale ambao mme ana kisukari lakini hata vyakula vya wagonjwa wa kisukari huvijui na hata hujui kuvipika!?;
Unajua mambo ambayo mmeo anavipenda? Au unajifanyia tu kila jambo bila uweledi wowote?

We m-baaaaaaaaaaaayaa! Kama hajaelewa basi tena. Haya ya kawaida tu..
 
Yasiyo wazika ni yapi hayo Dada?

Angalia tabia zako na uwezo wako katika kazi;
mahusiano yako na Jamii na aina ya marafiki ulionao;
tabia yako kabla ya ndoa;
sifa na mienendo yako kabla ya ndoa na sasa;
Je una msaada gani kwa mumeo?;
Uwezo wako wa uelewa hasa katika mambo ya kifamilia;
Unachangia nini katika familia yako au wewe kazi yako ni kuangalai TV tu! Kila kazi anafanya House maid?;
Elimu yako ni ya kiwango gani? na je unajiendeleza hata kwa njia ya mitandao na Posta?
Unajua kupika au ndio wale ambao mme ana kisukari lakini hata vyakula vya wagonjwa wa kisukari huvijui na hata hujui kuvipika!?;
Unajua mambo ambayo mmeo anavipenda? Au unajifanyia tu kila jambo bila uweledi wowote?

Maswali ya msing sana haya kwanza ajichunguze yeye anakosea wapi hapo atajua nin chanzo cha tatizo
 
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwambie sababu na ukimuuliza nini mbaya unaweeza ukalamba
hata vibao. si mara moja ili swala kujitokeza ndo mana nimeona nilete jamvini. na anakuwa na majibu ya mkato na hasira endapo nitamuuliza kitu. yani nakuwa sina thamani kwake. na naweza nikawa nyumbani na apigi kwa simu yangu anapiga ya dada na anaweza sa nyingine akarudi usiku wa manane na yupo chakali. sasa na jiuliza uu ni ugonjwa ama pepo. akiwa ajaninunia yupp sawa na ni mume mwema. ila haiwezi pita miezi 3 ajaninunia.
je mnahisi ana tatizo gani? mi nampenda sana mume wangu. ila kama binadamu akiwaga na khali hiyo nami uwa naumia mpaka sa nyingine nawaza yasiyo wazika.

Atakuwa ana nyumba ndogo huyo ndio maana anachelewa kurudi na akirudi anakununia bila ya sababu na hataki kuulizwa kitu anakuwa mkali lakini usijali mungu ni mwema ayamfichua tu kama kuna machafu anayafanya nje ya ndoa
 
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwaJmbie sababu na ukimuuliza nini mbaya unaweeza ukalamba
hata vibao. si mara moja ili swala kujitokeza ndo mana nimeona nilete jamvini. na anakuwa na majibu ya mkato na hasira endapo nitamuuliza kitu. yani nakuwa sina thamani kwake. na naweza nikawa nyumbani na apigi kwa simu yangu anapiga ya dada na anaweza sa nyingine akarudi usiku wa manane na yupo chakali. sasa na jiuliza uu ni ugonjwa ama pepo. akiwa ajaninunia yupp sawa na ni mume mwema. ila haiwezi pita miezi 3 ajaninunia.
je mnahisi ana tatizo gani? mi nampenda sana mume wangu. ila kama binadamu akiwaga na khali hiyo nami uwa naumia mpaka sa nyingine nawaza yasiyo wazika.

Atakuwa ana nyumba ndogo huyo ndio maana anachelewa kurudi na akirudi anakununia bila ya sababu na hataki kuulizwa kitu anakuwa mkali lakini usijali mungu ni mwema ayamfichua tu kama kuna machafu anayafanya nje ya ndoa
 
Piga goti mbele za Mungu, kemea kweli kweli kama ni Pepo litaondoka fasta.....ila usiruhusu challenges unazozipata ukamsahau Mungu.....
 
akinuna na wewe endelea na shughuli zako kama huoni vile, wanaume dizaini hii hiyo ndo dawa yao. mie alikuwa akinuna napotea siku nzima na-catch up na shughuli zangu za hapa na pale. kama kuna shosti sijamwona siku nyingi naenda kumtembelea tunapuyanga weee! mbona kashika adabu mwenyewe
huyo mme kwako hakuwa na thamani ya mme. Vyenginevyo usingethubutu kwenda kwa shosti kupayuka huku ukijua honey wako amenuna.
 
Maswali ya msing sana haya kwanza ajichunguze yeye anakosea wapi hapo atajua nin chanzo cha tatizo

Manka kuna wanawake kila mwanaume akifika nyumbani anaona kero, kuongea kachoka kisha sema na kusema lakini kichwa hakibadiliki. Kuna wanawake hata kupika hawajui, wengi wanajua kuchemsha na kuweka mafuta mengi, vitunguu na nyanya kwisha habari yake, baada ya hapo kazi kubwa kuangalia tamithiliza za TV.

Mme anajitahidi kutafuta pesa anaacha pesa ya kutosha lakini hajawai kula balanced diet, kwanza mke hajui nini maana ya balanced diet, lili kuwa swali gumu la mtihani darasa la tatu likabaki huko.

Wengine kila mme akipita anayoyaona na kuyasikia mitaani ni aibu anajuta kwanini alioa, kuacha anashindwa labda ndio ndoa ya kikristo, anawaza akiacha mtoto wake atateseka. Kisha sema kachoka ndio hivyo hapendi kusema kila siku jambo lile lile. Anashangaa mke wake shoga yake mtaani ni changu wa kutisha sijui urafiki wao ni wanini?

Mwingine akisha oga yeye basi kanyosha miguu, nyumba inanuka hata akipata Rafiki hawezi kumwingiza ndani mwake, hapana adhi yake na ya adhi ya pesa anayoacha nyumbani, mtoto ndio kabisa hata hana tofauti na wa yule hasiyefanya kazi.

Mwingine ndio hivyo labda Jamaa anaangaika kutafuta pesa lakini hata mke hajui kama mme anaangaika, chakula hadi kinamwagwa, hakuna adhi ya Ubaba nyumbani.

"....".......
 
Akipiwa anapiga kwa house girl na wewe uwe unapiga kwa house boy wakat yeye yup home.
 
mie mwenyewe nina dalili hizo sometymes..
ila good thing hata wife anajua kucheza na wakati, so anakuaga mpole sana wakati mwingine
inachangiwa na kukosa deal za hela gafla kama ni muhasibu basi mzoee..sio kila siku jumatatu
 
Dada kununa ni kipaji kama vipaji vingine,hivyo usihofu hicho ndio kipaji cha mumeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom