Wanaume naomba mnisaidie hapa

Mmesikia wavulana, hapa wanatakiwa wanaume watoe ushauri! Wavulana mpite tu kwa kusoma tunachoandika wanaume!

Jibu hapa ni yes & no!
Inategemea na msingi wa mahusiano yenu! Nitarudi, ngoja niwaachie wanaume wenzangu!

Nawasubiri wanaume mje mjibu yes & no elezea kidogo
 
We kwa nini usimtafte Bibie ..??
Wenda na yeye Anajiuliza kama wewe unavyo jiuliza kwa nini umtafuti.

Sawa siku namtafuta siku aanze yeye
Ni kweli mimi ni mzito kuanza labda na yeye anapima kuona kama nipo serious
 
uyo anachokifanya kwako anakuandaa kuwa waifu matilio ndio mana ataki kukusumbua kukupigia pigia masimu ovyoo we kuwa mpole wanaume kama uyo wako mwisho wake uwa ni kutangaza ndoa tu hakuna jingine

Hii kali na wewe wakati unataka kuoa ulitumia njia mbovu kama hii?
 
inawezekana anakupenda sana tuu,ila mnaviziana nani amuanze mwenzie kwa salam,mimi nnae wang nampenda sana,ila sometimes inawez katika siku zaid ya tatu no communications kwa sababu ya viburi vyetu kuoneshana nan bora zaid ya mwenzie,ila nshampa suspansion ya mwezi mmoja na nusu hivi ajifunze maisha,na huenda huyo jamaa yako nae huko anaomba ushaur kama wewe,la msingi hapo acheni ujinga furahieni kipindi hiki mko pamoja,wewe ukiamka saa 12 asubuhi mpe hi,kisha endelea na kuboresha uchumi wako,akijibu sawa,asipo jibu ni tatizo lake sio lako.

Inawezekana ulichoandika hapa
 
Ugumu ni asili flan anayozaliwa nayo mtu asee na akijaribu kubadilika awe mlain anakua kituko kwahiyo vumulia

umenikumbusha mbali
Kuna mwamba alikuwa mgumu mgumu design hio unayo elezea nikawa nalalama sana kuna siku akanitumia text kaweka na ‘uwiii’ it felt so weird
Pia nina bahati mbaya kuwa na watu wagumu wagumu nadhani kuna shida upande wangu pia
 
umenikumbusha mbali
Kuna mwamba alikuwa mgumu mgumu design hio unayo elezea nikawa nalalama sana kuna siku akanitumia text kaweka na ‘uwiii’ it felt so weird
Pia nina bahati mbaya kuwa na watu wagumu wagumu nadhani kuna shida upande wangu pia
Ndo hivyo inakuaga mwanaume mgumu ustegemee atakwambia I love u nyingi,, ila Ni rahis kujua kama anakupenda ukimwambia shida yako utaona tu ni jins gan anavyojitoa kwaajili yako, Mara nying upendo wake unakuwa wa vitendo tu ila siyo kuongea au kuwasiliana kila saa
 
Mambo mengine yapi,,, wakati hamwasiliani?.. akikupigia kutaka kufanya mapenzi Ndo mnawasiliana nawewe unasema kila kitu kipo sawa..

Tatizo you don't want to trust your instincts. Unaona redflag kabisa but unajifanya huoni..ACHANA NA HUYU MWANAUME.

Kuna vingi sijavielezea so naona upo biased kutokana na nilivyo elezea
Asante kwa ushauri na ni kweli Kuna some redflags naziona nitakuja na update uzi huu huu tutajua mbivu na mbichi
 
Kuna demu nipo nae katika situation kama hiyo yeye anataka umuoneshe unampenda unamtafuta alafu yeye, anakausha wala haoneshi feelings back kiasi inafika unaona kama vile wewe ndio unajipendekeza kwake , mtu kama anakupa attention jua kwamba na yeye anaitaji feedback , pia anahitaji kuona kwamba unathamini kile anachofanya, haiwezi kuwa wewe una act cool tu yeye ndio every time akucheki wewe, kwa demu wa kupiga na kutambaa naweza kumtafuta kwa ajiri ya shida zangu lakini kama hata game anazingua still anajiona yeye boss umuanze na potea zangu kama hivi.
 
Kiukweli mahusiano ni muhimu sana kwenye relationship though haya justfy kama ndo unapendwa sanaa...mwingine aneza akusalimie vile unataka na asiwe mkweli na anaeza asukusalimie akawa mkweli au muongo its un predictable.Ushauri wangu jaribu kuangalia factors zingine na siyo hiyo tuu ya mawasiliano.For me when someone truly loves you utajua tuu acha hayo mambo ya mawasiliano, outings, money giveaway...na vingine.Mbona mi najuaga kama huyo ni feki huyu ni real.A a man.

You just see it

"Mawasiliano"
 
Nina maswali na hoja kadhaa kwenye mabano ukivitafakari labda vitasaidia.

1. Ukianza wewe kumcheki anachukua muda gani ku-reply? (wengine hawapendi kuwa na simu muda wote, naweza kusema siyo wapenzi wa simu)
2. Je, majibu yake yako romantic au vipi? (ikiwa anajibu faster angalia aina ya majibu anayokupa, je unavyoona yana muelekeo wa kuwa una nafasi kwake au ni kama unamsumbua?)
3. Je, wewe ni kwanini unamtega kumfanyia usichopenda akufanyie kama kweli unampeda? (Wakati mwingine kuwa mvumilivu huku ukisoma mwenendo huo, anzisha tu mawasiliano kiroho safi bila kurusha lawama, kuwa na subira sana huenda ikambadilisha naye akaanza kukucheki)
4. Je, mmewahi kuzungumzia hili jambo la mawasiliano na reaction yake ilikuwa vipi? (wakati mwingine tatizo katika mahusiano huisha linapojadiliwa, ongea naye vizuri utajua shida ilipo na hatimaye mtaelewana)

Hayo ndiyo niliyowaza kwa kadri nilivyojaaliwa.
 
Hii ni kweli kabisa huyo mtu anakupenda. Sio wanaume wote wapo active kwenye communication. As long as anakupenda na ameridhika na ww basi yeye yupo tuliiiiii ana uhakika na ww.

Shida ipo kwako bibi ww, kimuhemuhe, Roho isiyotulia kama pishi la Bisi, Upo nyonyo....?

Daaahhh huyu ni mimi, Aiseeee sipendagi usumbufu wa masimu simu na msg kila muda.

Mahitaji yote unamtimizia ila mtu anataka masimu simu, nikamwambia siwezi

Nikamkamata anasema anafikiri mapenzi ni hela na misaada kama ya wamarekani

Nikampiga chini akaanza kulia, mpaka sasa anabaki ananiangalia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom