Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Fafanua hapa njia gani inatumika kuzinyoa hizo ndevu za makalioni na anyejinyoa akae staili gani
nunua ile shaver yenye kama ka mkono (sio wembe) tandika shuka chini maana nyie hamna khanga, kaa panua miguu chuchumaa weka kioo katikati ya miguu ingawa sio lazima maana unaweza kunyoa hata kwa hisia. kwangua yotee baadae sika na vidile uone kama umemaliza yote,

kama halijaisha baki umechuchumaa pitisha mkono ukoshika shaver pitisha nyuma kumbuka unajiangalia kwenye kioo. toa nywele zote. done.
 
Ushauri wako mzuri dada. TATIZO MUDA tunasaka shekeli ndio maana wewe una muda wa KUOsha kipapa maana na wewe unasaka kikalia roho.
Lakini Kunyoa Mferejin hilo sahau
Nikose bunduki yaani hadi panga au nondo unizuie kumiliki? Hayakuota kule kwa bahati mbaya ni Defensive mechanism.
 
unakiuka amri?
Wambie pia wakinyoa vibaya itawaweka kwenye hatari ya kupata maradhi kirahisi wanapokutana na wanawake wenye chamchem!!
Kama watatumia wembe kunyoa me huwa Nina nyoa na machine kama machine imeharibika huwa ninatumia mkasi wembe sio kitu kizuri kunyolea itakuweka kwenye hatari endapo utajikata na ukachepuka!
 
sasa ndugu wanaume mizigo mitatu iliyoko huko ikulu watatumiaje wembe? shaver nzuri nishawambia zipo wapi wakiwa wabishi nawanunulia:cool:
 
dear sheria mpya haikuachi salAMA WEWE
Ushauri wako mzuri dada. TATIZO MUDA tunasaka shekeli ndio maana wewe una muda wa KUOsha kipapa maana na wewe unasaka kikalia roho.
Lakini Kunyoa Mferejin hilo sahau
Nikose bunduki yaani hadi panga au nondo unizuie kumiliki? Hayakuota kule kwa bahati mbaya ni Defensive mechanism.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom