Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Ila wanawake wengine ukweli hamjitambui na ndio maana ndoa mtaziona kwa jirani tu.
Wewe umenipenda mimi kabla ya kunifaham kiundani zaidi.. baada ya kunikubali unagundua kuwa nina udhaifu mdogo wa kurekebisha na kuelekeza. Kwa nini usimuelekeze huyo mtu akawa kama unavyotaka wewe kuliko kuja hapa kupikicha povu kama lote.
Thamani ya mwanamke kwa mwanaume inakuja pale wewe mwanamke ukamkubali mwanaume na ukamuonesha udhaifu wake lakini ukachukua jukumu la kum-badilisha. Akibadilika na watu wa karibu watamwambia, kwa hakika thamani yako itapanda mara dufu na utakuwa wa muhimu kwake sana.
 
hahah COCO, MIGUEL....nipe Animation nyingine nzuri maana nimeona avatar yako nikaikumbuka Coco
Na sinyoi, misitu ndio inayoleta mvua..

Halafu dume zima utaanzaje kujinyoa nywele za tako!? Unajikunja kabisa unapititsha shaver rwaah rwaah.. Pumbavu kabisa..
 
Back
Top Bottom