Kwani huwa wanalazimishwa kuvaa? Si ni vihele hele vyenu ndo huwa vina sababisha mvae. Ili mjionyeshe kwa ati mna wachumba.Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?
Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?
Ifike wakati Me nao wavae
Inategemea nani anamu-engage mwenzie.....

Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?
Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?
Ifike wakati Me nao wavae
Nimekuwa najiuliza kwa nini wanaume hawavai pete za 'engagement'?
Ni kwa nini wanawake ndio wanaodhaniwa wanastahili tu kuzivaa (ni ili wasibadili mawazo au)?
Ifike wakati Me nao wavae
Na pete za ndoa wavae wanawake tu kwasababu ndio wanaolewa.
Pete za ndoa mnavaa wote (mwanamke na mwanaume) maana WAMEOANA, WAMEFUNGA NDOA....
ndio maana cheti wanasaini wote
Wanawake nao watoe mahari
wanawake na nyie mtuhonge sasa maana mnataka kila kitu kiwe sawa sasa