Wanaume na wanawake wa Dar es salaam tofauti yao ni sehemu za siri tu

Hawa madem wa Dar unaweza pigwa tukio ukawa kichaaa..Kuna jamaa alikuja kutoka mkoani huko na vihera vyake akaja pale karibu na ofice zetu akafungua huduma za tigo pesa akamuweka dada mmoja pisi kali kweli jamaa akajisahau akaanza kula mzigo dem alikula mtaji wote hata kutoa 5000 ikawa shida.
 
Habari wana jamvi

Kwanza naomba samahani kama kuna ambaye nitamkwaza kwa uzi huu

Napenda kusema kwamba wanaume wa Dar na wanawake wa Dar tofauti yenu ni sehemu za siri ila wote mnatabia zinazofanana za kike kike tu, umbea, unafiki, fitina na Majungu

Nilipata safari ya kwenda Dar kwa ajili ya mambo yangu binafsi kufika nikakutana na mdada mzuri sana kwenye kibanda cha huduma ya Electronic
Hujatapeliwa ila K umepewa kwa bei kubwa
Next time ukija nione nikupeleke ktk machimbo ya bei nafuu
 
Wasukuma mafala sana
Yaani utoke huko Chato unanuka mbuzi uje oa kirahisi rahisi Dar. Hata hiyo kujiliza ni uingie tena mkenge mjinga Wewe. Kaoe huko Bariadi au Kwimba Dar ni five star.
Na ndio maana mnageuzana wanawake nyie wanaume wa dar mnakulana mavi
 
Watu wa Dar mbona mnapambana sana lakini maisha mazuri hamuyapati?...nimekaa miezi sita tu Tabora nilimiliki kila nilichokuwa nakitamani

Mimi niko mkoani lakini nakujibu hivi ujajua maisha unaweza kurudi zero muda wowote bro... kupata vitu hivyo sio ndani ya muda mfupi tu hata ingekuwa miaka
 
Tatizo watu wa mkoani mna papara na kaushamba fulani hivi kabaya sana mnapokuja mjini Dar es salaam.

Watu wa mikoani msipaparikie wanawake wa mjini mtakuja kuliwa jicho mkuu.

Unafikiri hapa Dar es salaam kuna mwanamke ambaye yupo single? Kila mwanamke unayemuona mjini Dar es salam tambua kuwa huwa ana wanaume zaidi ya 20 na unakuta wote hamjuani.
 
Habari wana jamvi

Kwanza naomba samahani kama kuna ambaye nitamkwaza kwa uzi huu

Napenda kusema kwamba wanaume wa Dar na wanawake wa Dar tofauti yenu ni sehemu za siri ila wote mnatabia zinazofanana za kike kike tu, umbea, unafiki, fitina na Majungu

Nilipata safari ya kwenda Dar kwa ajili ya mambo yangu binafsi kufika nikakutana na mdada mzuri sana kwenye kibanda cha huduma ya Electronic money transfer na nikatokea kumpenda sana basi ikawa kila nikienda Dar tunakutana uvumilivu ulipo nishinda ikabidi nifunguke nikamwambia akakubali sasa sijui aliniona mimi wa kuja.

Basi kwa kuwa lengo langu ilikuwa kuoa kwa wakati huo nikaona mke si ndio huyu mtafutaji anajituma kumbe mhh

Nikampigia simu nikamuomba aje nyumbani kwetu akakubali akasema yupo tayari hata sasa aje basi nikajipanga nikamtumia nauli ilipoingia tu akasema baba yake anataka aongee na mimi nikajitutumua nikaongea nae akasema huyo ni mwanae na hawezi kumruhusu kijinga jinga aje tu huku.

Basi baada ya kusema ivyo huyo binti akaanza kujiliza kinafiki mara ohh nimeumia sana sijapenda basi baada ya hapo ikabidi nijipange nikienda tena Dar nifike kwao kwanza

Basi nikapata safari kumwambia huyo binti akasema baba yake kasafiri kaenda Burundi basi ikabidi nisubiri ila binti akawa anazidi kupiga mizinga ya hapa na pale Mungu wa ajabu nilikuwa namkwepa sana namwambia subiri kwanza nije kwenu

Kumwambia maswala ya hela asubiri kwanza akanuna mara akasema simu yake mbovu anataka anunie nyingine nimuongezee hela nikamwambia sina Dah kweli Mungu alikuwa na makusudi yake

Baadae akakaa kimya kama miezi mitatu nikawa hata nikienda dar pale alipokuwa anafanya kazi nikakuta pamefungwa mawasiliano yakawa ya tabu sana ukimpigia simu hapokei na anataka kuchat tu

Sasa baadae ikawaje siku moja nipo kwenye biashara zangu nikapokea ujumbe umeandikwa hivi "NIMEOLEWA SITAKI TENA USUMBUFU KUTOKA KWAKO"
nikajua labda utani kumtafuta akasema ndio nimeamua hivyo maana umeshindwa kunihudumia Dah wakati nikiwa safarini kwenda dar nimemtoa sana lunch mizawadi kama yote nguo vyakula gesi umeme bili za maji kodi ya nyumba nimelipa sana hadi pale alipokuwa anafanya kazi walikuwa wanajua mm ndio mume wake

Baada kama ya wiki 2 hivi akanitumia ujumbe anasema "pale alipokuwa anafanya kazi amepokonywa vitendea kazi na amefukuzwa alipokuwa anakaa na huyo mume wake na anamtoto mdogo yupo kwa rafiki yake kwa sasa"

Ikabidi nimpigie simu nimuulize vizuri na yule niliyekuwa naongea nae kama baba mwenye nyumba wako kama baba yako mkaka uliyekopa vijora na aliyekuwa anabadilisha mitungi ya gesi ni akina nani wakati umeolewa na una mume na mtoto
akajibu "WALE NI WAKAKA TU NAFAHAMIANA NAO HATA HAIKUWA KWELI" huku analia anaomba msamaha nimtafutie hata kazi awe anafanya maana hana pa kwenda na mtoto huku kwa mbali nasikia mtoto analia

Basi nikamwambia ulichagua kilicho bora kwako we endelea tu

Kwanini lawama nazitupa kwa wanaume wa Dar sasa

*Haiwezekani unajua wewe sio baba wa mtoto halafu unapiga dili mwanaume mwenzio aliwe hela na mwanamke kama sio ukike ni unini huo
*Unajua wewe sio baba mwenye nyumba halafu unatishia kutoa vyombo nje kumbe unataka mwanaume mwenzio apigwe pesa na mwanamke kama sio umama ni unini huo
*Wewe boda boda ambaye unapaki hapo karibu na kazini kwake ulikuwa unatupeleka viwanja tunaenda kula bata na ulikuwa unajua kama mwanaume mwenzio naenda kuliwa hela kama sio udada ni nini

Kuna haja ya kubadilika nyie wanaume wa Dar dunia ni ndogo sana mlikuwa mnafurahi kuona naenda kuliwa hela zangu ila poa tu ipo siku

NB:
Sijatapeliwa tatizo kaniuzia K kwa bei kubwa sana

Huyo demu nimepiga kama mara 2 ila sijawahi kuona kama anamimba sijui kwanini au alikuwa ananidanganya ili anipige pakubwa zaidi bado sijajua

Ila wanaume wa Dar mmenikera sana japo kuwa sio wote ila nyie mliohusiki kwa namna moja au nyingine
Katika kipindi chote mkoo pamoja umeshawahi kula mzigo ?????

Na kama umekula mzigo je binti ulimkuta bikraa ?????

Chumba ulichokuwa unamlipia demu wako umeshawahi kufika au ulikuwa unaishia dukani tuu
 
Pole, uliliwa kiboya sana. Usiamini sana watu, pamoja na hayo...K umeila kwa gharama kubwa mno, tena two times only. Kuna wakati mtu unachelewa kung'amua kuwa hapa nachezewa chezo, unakuja kushtuka ushaliwa sana...
 
Kichwa cha habari na maelekezo tofauti,.

In short, wewe ndio mjinga , umalaya wako na uporipori wako umekufanya utapeliwe Dar

Mjini shule , ukizaliwa Dar tayar wewe ni form six , kinachofuata omba mkopo HESLB ukajiunge chuo😂😂😂
 
Kwa maelezo yako mtoa mada, cdhani kama ulipewa papuchi hata mara moja, inawezekana hela uliliwa nyingi na hukupewa papa, ndo unakuja na hasira humu jf...unatudanganya unavyosema ulipewa papa
 
Sijatapeliwa tatizo kaniuzia K kwa bei kubwa sana
Kwani alikufosi? Kama hajakufosi,wakati unatoa mpaka kufikia hiyo bei unayoiita kubwa,hukujua unachokifanya? Kuna malaya, wanaouza mbunye zao. Je,wanaonunua wao sasa si ndo mazoba?
Umependa mwenyewe,hela yako,huku ukijiona kidume,dalili za kuwa wewe siyo saizi yake ulipewa,na bado ukaendelea. Sasa walilia nini? Tena uzuri umesema wa kuja. Ndo karibu Dar hiyo. Nyamaza na utulie
 
Back
Top Bottom