Wanaume na wanawake wa Dar es salaam tofauti yao ni sehemu za siri tu

wanaume wetu wa Dar hata hawanaga shida.

Tupo nao benet tunalisukuma gurudumu la taifa.

Shida ni wewe hapo ka hela kadogo tu unatangaza vita na mji wetu.

usije tena.
 
...shida ni maisha magumu mkuu, asilimia kubwa ya wadada wa Dar ni tapeli na wanajiuza, kinachowatifautisha ni mbinu za kujiuza, wadada wa Dar es Salaam wanapenda hela kuliko chochote kile na bado pamoja na utapeli wao ni mafukara kupindukia. Pole sana kwa lililokutokea, lakini kwako ni somo tosha, na utakuwa makini kwa sasa na baadae kuepuka usumbufu wa aina hii. Hivi vidada vimelaaniwa, vingine vina biashara na kazi nzuri lakini utapeli kwao upo damuni, haviridhiki na kipato chao.
hakika
 
Habari wana jamvi

Kwanza naomba samahani kama kuna ambaye nitamkwaza kwa uzi huu

Napenda kusema kwamba wanaume wa Dar na wanawake wa Dar tofauti yenu ni sehemu za siri ila wote mnatabia zinazofanana za kike kike tu, umbea, unafiki, fitina na Majungu

Nilipata safari ya kwenda Dar kwa ajili ya mambo yangu binafsi kufika nikakutana na mdada mzuri sana kwenye kibanda cha huduma ya Electronic money transfer na nikatokea kumpenda sana basi ikawa kila nikienda Dar tunakutana uvumilivu ulipo nishinda ikabidi nifunguke nikamwambia akakubali sasa sijui aliniona mimi wa kuja.

Basi kwa kuwa lengo langu ilikuwa kuoa kwa wakati huo nikaona mke si ndio huyu mtafutaji anajituma kumbe mhh

Nikampigia simu nikamuomba aje nyumbani kwetu akakubali akasema yupo tayari hata sasa aje basi nikajipanga nikamtumia nauli ilipoingia tu akasema baba yake anataka aongee na mimi nikajitutumua nikaongea nae akasema huyo ni mwanae na hawezi kumruhusu kijinga jinga aje tu huku.

Basi baada ya kusema ivyo huyo binti akaanza kujiliza kinafiki mara ohh nimeumia sana sijapenda basi baada ya hapo ikabidi nijipange nikienda tena Dar nifike kwao kwanza

Basi nikapata safari kumwambia huyo binti akasema baba yake kasafiri kaenda Burundi basi ikabidi nisubiri ila binti akawa anazidi kupiga mizinga ya hapa na pale Mungu wa ajabu nilikuwa namkwepa sana namwambia subiri kwanza nije kwenu

Kumwambia maswala ya hela asubiri kwanza akanuna mara akasema simu yake mbovu anataka anunie nyingine nimuongezee hela nikamwambia sina Dah kweli Mungu alikuwa na makusudi yake

Baadae akakaa kimya kama miezi mitatu nikawa hata nikienda dar pale alipokuwa anafanya kazi nikakuta pamefungwa mawasiliano yakawa ya tabu sana ukimpigia simu hapokei na anataka kuchat tu

Sasa baadae ikawaje siku moja nipo kwenye biashara zangu nikapokea ujumbe umeandikwa hivi "NIMEOLEWA SITAKI TENA USUMBUFU KUTOKA KWAKO"
nikajua labda utani kumtafuta akasema ndio nimeamua hivyo maana umeshindwa kunihudumia Dah wakati nikiwa safarini kwenda dar nimemtoa sana lunch mizawadi kama yote nguo vyakula gesi umeme bili za maji kodi ya nyumba nimelipa sana hadi pale alipokuwa anafanya kazi walikuwa wanajua mm ndio mume wake

Baada kama ya wiki 2 hivi akanitumia ujumbe anasema "pale alipokuwa anafanya kazi amepokonywa vitendea kazi na amefukuzwa alipokuwa anakaa na huyo mume wake na anamtoto mdogo yupo kwa rafiki yake kwa sasa"

Ikabidi nimpigie simu nimuulize vizuri na yule niliyekuwa naongea nae kama baba mwenye nyumba wako kama baba yako mkaka uliyekopa vijora na aliyekuwa anabadilisha mitungi ya gesi ni akina nani wakati umeolewa na una mume na mtoto
akajibu "WALE NI WAKAKA TU NAFAHAMIANA NAO HATA HAIKUWA KWELI" huku analia anaomba msamaha nimtafutie hata kazi awe anafanya maana hana pa kwenda na mtoto huku kwa mbali nasikia mtoto analia

Basi nikamwambia ulichagua kilicho bora kwako we endelea tu

Kwanini lawama nazitupa kwa wanaume wa Dar sasa

*Haiwezekani unajua wewe sio baba wa mtoto halafu unapiga dili mwanaume mwenzio aliwe hela na mwanamke kama sio ukike ni unini huo
*Unajua wewe sio baba mwenye nyumba halafu unatishia kutoa vyombo nje kumbe unataka mwanaume mwenzio apigwe pesa na mwanamke kama sio umama ni unini huo
*Wewe boda boda ambaye unapaki hapo karibu na kazini kwake ulikuwa unatupeleka viwanja tunaenda kula bata na ulikuwa unajua kama mwanaume mwenzio naenda kuliwa hela kama sio udada ni nini

Kuna haja ya kubadilika nyie wanaume wa Dar dunia ni ndogo sana mlikuwa mnafurahi kuona naenda kuliwa hela zangu ila poa tu ipo siku

NB:
Sijatapeliwa tatizo kaniuzia K kwa bei kubwa sana

Huyo demu nimepiga kama mara 2 ila sijawahi kuona kama anamimba sijui kwanini au alikuwa ananidanganya ili anipige pakubwa zaidi bado sijajua

Ila wanaume wa Dar mmenikera sana japo kuwa sio wote ila nyie mliohusiki kwa namna moja au nyingine
Uduanzi ni wako halafu utapia lawama watu wengine. Utapigwa tena! 🤣
 
Kupigwa ni sehemu ya maisha Baharia usilaumu sana hata ukiwa mjanja vipi kuna sehemu tu utajikwaa cha msingi umemstukia huyo Ku** mapema. Jinsia ya kiume was**** w*se*ge Wapo kila pahala sio dar
 
Back
Top Bottom