Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana mavazi ya kike! Unakuta mwanaume anavaa kikuku ama pete kwenye vidole vya miguuni. Mwanaume anavaa G string, ama vipedo jamani mavazi ya dada zetu hayo.
Tatizo limeingilia hata wanamichezo, hebu angalia hawa Taifa stars na mitandio yao. Sitaki kuamini hizo ni scarf maana kwa joto la Dar siwaelewi. Tunaiga mno hadi ujinga sasa.
Tatizo limeingilia hata wanamichezo, hebu angalia hawa Taifa stars na mitandio yao. Sitaki kuamini hizo ni scarf maana kwa joto la Dar siwaelewi. Tunaiga mno hadi ujinga sasa.