Wanaume na Mitandio Kulikoni?

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana mavazi ya kike! Unakuta mwanaume anavaa kikuku ama pete kwenye vidole vya miguuni. Mwanaume anavaa G string, ama vipedo jamani mavazi ya dada zetu hayo.

attachment.php


Tatizo limeingilia hata wanamichezo, hebu angalia hawa Taifa stars na mitandio yao. Sitaki kuamini hizo ni scarf maana kwa joto la Dar siwaelewi. Tunaiga mno hadi ujinga sasa.

GO9G9917.JPG
 

Attachments

  • Wanaume.JPG
    Wanaume.JPG
    155 KB · Views: 123
  • Wanaume.JPG
    Wanaume.JPG
    52.2 KB · Views: 112
Aaaaa Rev sasa si wamerembeshea hapo kidogo bana mmm??
 
Vikuku, pete za vidole na G-string akivaa mwanaume its obvious ni BWABWA. Vipedo na mtandio ni style ambayo hata wanaume wanavaa, tofauti ni hiyo mshono.

Mimi sioni tatizo ya picha hapo juu.
 
Vikuku, pete za vidole na G-string akivaa mwanaume its obvious ni BWABWA. Vipedo na mtandio ni style ambayo hata wanaume wanavaa, tofauti ni hiyo mshono.

Mimi sioni tatizo ya picha hapo juu.

Kwa hiyo hiyo kanga begani ni sawa kwake????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom