Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .

Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .

Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Wamefunga ndoa 1994.

Microsoft imeanzishwa 1970s au 1980s.
 
Mleta mada na Melinda wote Wana akil sawa mchunguze tu comment zake anafurah Melinda kumuacha bilgate

Sio mbaya ndio wanawake tulionao akili zao zpo kwenye vitu kuliko upendo unaonesha vitu atakavyopata maana yake umefurah vp wewe mumeo au mchepuko wako ana Mali Kama hizo ili ukaombe talaka
Limbukeni tu huyo.

Mali zenyewe kuzitunza zinamtokea puani.
 
Ma-Super women hamkosekanaga.

What if mellinda ndie mchimbachumvi kwenye ndoa .

The smell of money drive some feminists crazy

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kwamba Bill alikuwa bilionea wakati anamuoa Melinda.

Bill amelelewa familia ya kitajiri. Ukoo wa Gates ni mamilionea miaka na miaka.

Sawa na Bezos na Zuckerberg.
 
Uzuri mwanamke mwenyewe alikuta Bill tayari ana microsoft yake huyo maza alikua kijakazi kwny hio Co. kabla hajamuoa na huyo maza alishasainishwa prenup mwaka 1994.

Pole sana Joyce Kiria

Haya Gates nenda katembeze pumbu huko mtaani uwape maisha na wanawake wengine huko duniani.7
Kumbe kuna Prenup ilisainiwa?

Gates amecheza kama pele.

Huyo Melinda sahivi atafute vyanzo vingine.
 
2710108_IMG-20210309-WA0000.jpg

IMG-20210504-WA0049.jpg
 
Kwa nini haswa unafikiri wanaume ndio wanaotengeneza pesa Jamani
Ni pesa ya mwanaume ndo huwa inatumika na anayetoa hana kinyongo za kwenu mpaka mtoe ni vikao 7 vikae na atakayepewa labda awe mtoto wako au wazazi wako.Ukimpa mwanaume kumi huo ni mkakati wa kuvuna mia.Na kama imetokea dharura utamsema nayo mpaka ndevu zing'oke.
 
Na mwanamke utayempata halafu akadai talaka ikatakiwa mgawane mali pasu kwa pasu from that day "you will no longer be a man" wao wanaita "mwanaume suruali"
Usiogope hilo la kugawana kwani aliyetafuta bado atasimama tena na maisha yatasonga otherwise utakuwa katika ndoa ya mateso.
 
Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .

Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .

Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
Uongo
Hasa hapo kwny kuanzisha Microsoft
 
Mimi hata nikikuoa hata ukitoka kulala na mabwana zako nipo tayari kukufulia chupi zako ambazo wamezichafua,. Uko sahihi kabisa inabidi wanaume tubadilike tuwatii wanawake maana kiuhalisia kushindana nao hautwezi.
 
Ni pesa ya mwanaume ndo huwa inatumika na anayetoa hana kinyongo za kwenu mpaka mtoe ni vikao 7 vikae na atakayepewa labda awe mtoto wako au wazazi wako.Ukimpa mwanaume kumi huo ni mkakati wa kuvuna mia.Na kama imetokea dharura utamsema nayo mpaka ndevu zing'oke.
Hahahahahahah acha tu,,, yani hela ya mwanamke ina masimango balaa hata ikiwa umeomba ujazilizie kwenye mzunguko wa biashara ole wako hio biashara izingue isiende sawa halafu ile hela iwe imekufa. Hamna rangi utaacha kuiona aisee!
 
Wanaume mna Cha kujifunza juu ya wanawake Kama mnavyo ona akili ya mtoa post.

Ukizembea tu imekula kwako .....zalisha utakomboa mtoto .... Kama wakina 50 cent vile ...... Kuoana na mwanamke mnae chuana uchumi sio hizi takataka unazitoa huko Cha thaman wanacho miliki Ni smart phone na vibegi vya kubebea mafuta ya kulainishia marinda wanavyo nyanduliwa.

Wanawake wa Sasa hauhitaji akili nyingi kwenda nao sawa ,unahitaji moyo mgumu wenye maamuzi magumu.
Hahahahahah nimecheka sana
 
Unapataje stimu ya kuinjoy kuona mali zako zikienda kwa mwanamke?

Happiness without racks can sometimes be impossible
Hela ya kitoto kama trillion 3 iende ubakie na trill 123 Kuna kuumia gani hapo! Yani ni sawa na mtu una million 123 halafu umlipe kivuruge million 3 akuondolee balaa kwenye maisha yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom