Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .

View attachment 1772640
Mke wa gates ana asili ya machame apuuzwe
 
Wanaume wa siku hizi hatujali. Tunakugawia kiroho safi maisha yanaendelea kama kawaida. Unatafuta kabinti kabichi pisi kali nako kaje kafaidi mali ili ukizeeka uwe umeacha Legacy ya wa kuwatoa watu kwenye umaskini.

Mali zenyewe nyingi hivyo hata ukifa bado watafaidi watu. Kwa nini usiwaachie mapema kiroho safi akiwemo uliyeishi naye muda mrefu?
Uchebe alifaidi nn?
 
Mimi hata nikikuoa hata ukitoka kulala na mabwana zako nipo tayari kukufulia chupi zako ambazo wamezichafua,. Uko sahihi kabisa inabidi wanaume tubadilike tuwatii wanawake maana kiuhalisia kushindana nao hautwezi.
Big simp ever happen 😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom