Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Bila shaka wewe ni wale wanawake 50/50, kitaeleweka, ngangari ngangari, haki sawa. Ungekua mwanamke mwenye maadili ya Kiafrika wala hilo lisingekupa tabu.

Yani eti unawaza umuache tehee hee wewe ndio ulimuoa ?! Aise hongereni mnaowaweza hawa wanawake wa 50/50, haki sawa blah blah blah
 
Single mama is the best than a cheating husband
Kweli kabisa bora usingle mama kuliko kukaa na jinaume kama mzabzab linagegeduana tuu na kukuumiza moyo.

Tena raha ya usingle mama unaamua tuu leo nina genye nagegedwa na nitaye na hamna kugandana maana wanaume ikija single mama wao wanataka kugegeduana tuu
 
after kuliwa, kesi inaisha lakini Kwa vithibitisho huwa siachiliagi kiurahisi. Baada ya vithibitisho mashambulizi yanaendelea
Ishu ni ukikubali kutoa mchezo hasira zinapungua na hata iwe kesi nzito vipi itaisha tu hata km ni kwa miezi kadhaa mbele
 
Hapo mwenzie kashampa penalty, lilobaki abutue tu
Kwanza mtu unakuwaje na mume mmoja Kama Baba ako mzazi?!!!
Najua hapa wanaume wanasoma hii comment huku wanameza mate ya uchungu
Shangaa wewe.......

Au hajui kidole kimoja hakivunji chawa???
 
Dhambi ya usaliti haina cha kuvumilia, muuleze atambue afahamu kuwa umefahamu anavyo vifanya. Ingefaa ungetunza na ushahidi hii itakusaidia kunapokua na maamuzi ya pande mbili upate cha kusemea.

Usifuge ujinga, fikiria ingekua upande wake yeye angevumilia
Acha kumjaza mwenzako ujinga!

Mwanaume kucheat ni sehemu ya maisha. Hakuna mwanaume asiyecheat, ispokuwa wale waliowekewa madawa tu. Ila wote wenye akili timamu kuwa perfect 100% haiwezekani.

Ye akae kwa kutulia, ameshaolewa alee mtoto.
 
Hatufanani,, mi viugomvi vya hivyo na Kama nina hisia na wewe hata siwezi kukunyima,, nitanuna mdomo ila chini nakupa maana hasira hunipandishia genye sana hata nikiudhiana na wangu huwa sitoki maana nikitoka tu naweza kuliwa kirahisi sana na lijitu,, huyo ni mimi wengine wengi wakikasirika na chini kunanuna
Safi sana
 
Ishu ni ukikubali kutoa mchezo hasira zinapungua na hata iwe kesi nzito vipi itaisha tu hata km ni kwa miezi kadhaa mbele
Yeah ukiliwa kesi inaisha, Ila dah mi hata sijui nipoje, sijawahi kununa mwezi ata siku 3 siwezi . Nikiwa kwenye mahusiano hicho kitu huwaga ni kigumu Sana kwangu.... Mwezi mzimaaaa loh. Siku 3 nyingiii.
 
Yeah ukiliwa kesi inaisha, Ila dah mi hata sijui nipoje, sijawahi kununa mwezi ata siku 3 siwezi . Nikiwa kwenye mahusiano hicho kitu huwaga ni kigumu Sana kwangu.... Mwezi mzimaaaa loh. Siku 3 nyingiii.
Mi naweza km tu hisia zimekata ila km vihisia Bado vipo 😂😂😂😂Hata siku moja siwezi maana nikiguswa tu genye hizi hapa
 
Kama mchepuko wake ni mwanamke mwenzako hakuna shida

lakini mwisho nikukumbushe... tabia ya kukagua simu ya mume wako usirudie; kama mwanaume anakuonesha upendo, anakujali ww na mtoto na mapenzi yako vilevile usihangaike kukagua kagua visivyokaguliwa utaumia bure.

Badili life style; wacha kufukunyua mambo kwa kuwa huwezi kuukosa udhaifu ukiutafuta na huwezi kumoata mwanaume perfect HAYUPO

kuachana naye siyo uamuzi sahihi.. zungumza naye kuwa umegundua anacheat baada ya hapo msomge mbele kwa sababu huo mchepuko ni mchepuko na mke ni mke tu
 
Back
Top Bottom