wanaume msiseme sikusema: siku ya kwanza atakuja na "andawea mbili"

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema
 
Heri yetu sisi wazee ambao hata ikitokea hayo mambo ya kukutana sio nyumbani na hivyo hakuna nafasi ya kuviacha ulivyovitaja.

Mambo ya vijana hayo.
 
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema

Mhhh....Huyo mwanaume anayefanyiwa vitu vyote hivyo kama hajui kusoma mchezo hata picha haoni...
 
Sorry, wafanyiwayo haya ni wanaume au watoto wa kiume?

best c unajua leo nipo home full mboreko nikaingia fb.
Nimeikuta hii topic utamu unakuja utamu unakata embu weka link natumia mobile.
Huyu dogo namind sana
 
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusema
Umeniona mimi nn? Umoumoooo,dah!
 
Hata hapa JF nadhani ishawahi kuwekwa kitambo....lakini wakti mwingine huwa twasoma na kupita tu...
Nami natumia kilongalonga best...lakini kwa faida yako best gonga hapa chini.

Wanaume Msiseme Sikusema

best c unajua leo nipo home full mboreko nikaingia fb.
Nimeikuta hii topic utamu unakuja utamu unakata embu weka link natumia mobile.
Huyu dogo namind sana
 
Just curious...Je wanaume huwa wanahamia vipi?....sie wadada vyupi, nyie je? Boxers? watu8 nisaidieni maana nimewaza mno.....
 
Last edited by a moderator:
hivyo hivyo na kuhamishia lori zima ya vitu vyake nyumbani kwako muda ukifika anapigwa chini tu vile vile.

life is easy and sweet , hamna haja ya kuwaza hayo mastress yasiyokuwa na maana.... let enjoy life to the maximum
 
Revocatus Kashaga ulichoandika hapo juu ni ukweli mtupu, yaani kimsisitizo tunaita 'naked truth'.

You haven't miss a thing man!

Sasa twen'zetu kule siasani nikakuvue GAMBA nikuvishe GWANDA mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Revocatus Kashaga ulichoandika hapo juu ni ukweli mtupu, yaani kimsisitizo tunaita 'naked truth'.

You haven't miss a thing man!

Sasa twen'zetu kule siasani nikakuvue GAMBA nikuvishe GWANDA mkuu.
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom