Wanaume msioe mwanamke wa aina hii

Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali .mle alafu tupa kule
Mle au mnakulana?
 
Uko sahihi mkuu...ni kumega tu na kusepa kama mtu kakupenda why akuzungushe weee...
Mtu wa hivyo anakuwa ashatendwa huko then anataka aje afie kwako!!
 
Back
Top Bottom