Wanaume mnaowaibia wake zenu mnajisikiaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume mnaowaibia wake zenu mnajisikiaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 17, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,428
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Wapo wanume wengi duniani hawana uchungu na wake zao...na tatizo kubwa linakuja pale mwanaume anapojua kiasi cha mwenzake ni kikubwa mara dufu yake...wapo ambao kwa namna moja niseme mapepo,,ama tabia...wake zao wakiweka pesa vyumbani gafla akirudi anakuta tofauti ya ajabu...wapo wanaokubali wamechukua lakini leo hii ntaongelea wale wasiokubali
  hivi wewe ndugu unaesoma hapa kama unahusika kai ya haya kumwibia mkeo unajisikiaje...mi nacheka sana nashangaa hata kama mkeo ana pesa ujui ni zako?????ama ndio nyie mnachukua kwa wake zenu mnaenda tengeneza kwenu...no tuwe wastaarabu jamani...kupata mwanamke mwenye kipato ni baraka kwa mungu usimtumie kama asset!!!!ni vizuri ukiwa una shida mweleze mkeo naitaji kiasi hiki kama anazo atasema na kama ana mpago mwingine na anazo atakwambia mnashauriana.....iweje nyumba moja chumba kimoja....mnaibiana,,najua wapo watakaokuja kusema alimtunzia ...mmmhh .....ila ni vizuri si lazima usubiri mpaka mkeo aje akuulize..kama umechukua akiwa ayupo akirudi mwite mkalishe .....lete juice ya alovera mpge kisi mwambi mke wangu leo umechoka utasema umetoka same kwenye maafa....akianza kucheka cheka nae nikimaanisha muunganishie ulichochukua na kwa shida gani...nakwambia atajibu dont worry darling...ila si anajibu hivyo kesho inakuwa mchezo wa comedy...aah ...ukiwa na mwanamke kama huyo mwambie mungu akupe ufahamu....wa maendele...kama mnaishi sinza chumba kimoja ndio wakati wake hny jamani tutengeneze kabox tuweke hela za kiwanja......baadae mnatengeneza chumba chenu kimoja viwili mnaamia huku mkiendelea....jamani mapenzi raha mapenzi sio pesa,,,pesa majaliwa....basi ndugu yangu ukipewa usimamie na ujenzi sio unafanya sehemu ya kupigia mizinga oooohhh cemnt zimeisha kumbe ziko kwa jirani...unasubiri kuuza ama ujanunua kabisa...acha nasema acheni...tengenezeni njia ya maendeleo kwenye familia zenu....hata kama anazo pesa hizo ni zake bado mwanaume una mamlaka.....

  Kila la kheri
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  he he pdidy nilijua wale wanaoiba kwa kwenda kula tunda nje ya ndoa loh. hiyo ya kuiba pesa inatia kinyaa kwa kweli yaaani umuibie mkeo halafu mijitu mingine inaiba na kwenda kulewa pombe au kwenda kufanya zinaa nje, naiombea laana hii jamaa.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,428
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  mkuu GAMAHA wapo tena hata awana adabu wala aibu hawa...unakuta mkeo kaweka pesa unachukua unaenda usiku unarudi umelewa peesa hamna za chakula hamna...si upuuzi huu jamani??
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  SIJAWAHI KUCHEKA KAMA LEO!
  Yaani Pdiddy uliwaza nini hadi ukaleta mada kama hii? Bora umekuwa mbunifu mwaya maana kila leo lawama hizi huwaendea wanawake tu.
  Hongera sana.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,428
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  ukiwauliza kulikoni

  financial crisis

  weeeeeee;mi nasemag kuliko kuwa na mtu wa namna hii bora nibaki single
   
 6. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Aina hii ya wanaume kama wapo ndo wale wanaopigwa na wake zao na uoga ndo unawafanya waibe badala ya kuomba.
  Mwanamke ukona mmeo anaiba ujue unamnyanya otherwise asingeiba ila kama wapo hapa Jf ombeni nanyi mtapewa toka kwa wake zenu.
   
 7. I

  Isskia Member

  #7
  Nov 19, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Daaaah, hiiiiii kali!!!!!!!
   
Loading...