Wanaume mnaoangalia sura nzuri, huyu mwenye sura ya malkia ni shoga

Ila hata wanaume wenzetu wanaowachukua hawa wanaume wenzetu walioamua kufanya Mambo haya nao lazima watakua na matatizo ya kiakili.
Janaume jenzio utalipekaje gesti,hoteli au chumbani halafu unalala nalo ikiwezekana usiku kucha?
Ukweli hapa duniani tunatofautiana Sana.
Ndio maana kuna watu ukiwaambia
kaniulie Fulani linakuambia utanipa shilingi ngapi.
Yani tuna miroho ya ajabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom