Wanaume mnakera, kukutana ni wakati wa bao tu, serengeti boys wanafidi

Kuna wakati wa kutiana na ule wa kuzisaka hela binti, sio kugandiana kama kupe muda mwingi mtakula nini
 
Humu Cku Hz Kuna Watoto Wengi Hadi Kero! Hv Mmemaliza Shule Kweli? Km Unasoma Tafuta Mwanafunz Mwenzio, Km Unazurura Tafuta Mzururaj Mwenzio Na Km Ni Mtumzima, Tafuta Mtumzima Mwenzio. Tatizo Lililopo Hapo Ni Mismatch Kati Yako Na Mpenz Wako. Kuna Muda Mwanaume Akishamalizana Na Pilika Za Ujana, Huwa Anawaza Kutafuta. Mwanamke Ni Kwaajiri Ya Ngono Tu Ili Kuuwezesha Ubongo Kufanya Kaz Kwa Ufanisi. So Nakushaur Unapotafuta Mtu Jarib Kuangalia Intrest Zenu, Tatzo Mnaangalia Pesa. Tafuta Visharobaro Mtakua Mkienda Beach Kwa Wiki Mara Tatu Bt Wengi Ni Watoto Wa Mama Na Hela Hawana. Pia Namshauri Jamaa Aoe Mwanamke Ambaye Atameet Requirement Zake Kwa Ss, Ila Ww Bado, Mtasumbuana Kwa Nlivokusoma. Mf. Mtu Anamiaka 40 Awe Na Uhusiano Na 22yrs, Complete Mismatch Inabd Mkubwa Akubali Kuwa Mjinga Had Huyo Mdogo Atakapo Vuka Hyo Hatua.
 
Back
Top Bottom