Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,254
hahahah insta babe yani me kila nikianza kuamini yule siyo ww nikiangalia hii avatar kuna karoho kanasema ndio huyuuu huyuuuu 😂😂😂mxxiuuu trip my foot namlaumu sana huyo unayenifananisha nae hajui tu anavyozidi kuniharibia passport yenyewe sina nikisafiri nipo tanga kwetu