Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,399
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
 
Kumbe baba yako Sam Mahela?
 
Umeishasema ww ni mbaya so utapigwa sana virungu ila ungekuwa mrembo ungehongwa sana
 
Basi ni vivyo hivyo wanaume tunajisikia mkituomba pesa ila tunawavumilia tu, basi na nyie vumilieni.
 
Hasa ntamwombaje mwanaume mwenzangu pesa wakati nyie mliotuzaaa,naomba buku sina nauli ya kwenda kibaruani.
 
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .[/Q
labda wanaume wa dar, ila hata mm mwenyewe sipendi mwanamke anayeomba hela sana, hasa wale wa sina nauli, huwa siwapendi kabisa, ukitaka nimwache demu hata awe mzuri kiasi gani aniambie tuu sina nauli alafu nauli yenyewe unakuta ni buku, au jero, huwa namwona hana plan , hivyo ni mzigo
 
Back
Top Bottom