Wanaume mmemsikia Mama?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,129
Anasema kwenye Mwanamke Initiative Foundation anasema afadhali binti aliyeshindwa shule asubili kuolewa kama hao waowaji wapo,,, je mmemwelewa?
Kipindi hiki wanaume tusijihusishe na Uovu wowote acheni wizi mnamsononesha Mama, msiuane, mama alipata uchungu kutuzaa, mwanaume uwe na huruma kwa watu na viumbe, dunia ina inaribika na wanaume tupo , mama alituzaa wa nini sasa, tufanye mabadiliko chanya tumfurahishe mama Dunia na mama Hangaya..
 
Peleka ujinga kule
 
kwann huyo mama asiongee na mabinti zake waishi katika kusudi la Mungu na wajue wajibu wao wa kulea familia na sio kushindana na wanaume.
akianzia hapo atakuwa amesaidia
km yake yanamshinda atulie
 
Huyu dada mwandishi nadhan ukosefu wa elimu,stress na uelewa mdogo ndo shida.ndo sababu huwa anaandika vitu havieleweki.
 
Kumbe waoaji hawapo? naona akili zinaanza kuwasogea......maandiko yanaanza kutimia taratibu kwamba wanawake watataka waonekane wameolewa kwa kutumia jina la mwanaume huku wakijigharimikia mahitaji yao wenyewe.
 
Yatimie leo Tanzania ya samia?? Hayo yapo tangu enzi za mtume hakuna jipya chini ya jua
 
Utaratibu wa kiafrika wa mwanamke kupata mume, umefeli!
Tungejaribu na utaratibu wa India ambao mwanamke ndio anaenda kumlipia mahari mwanaume, tuone kama kuna binti atakosa mume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom