Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
Huyo mtu anayekaa mwezi mzima hajamtia mkewe ni mzima kweli au hana nguvu za kiume? Yaani nilale na mbususu kitanda kimoja then zipite siku 2 sijaila?
 
Back
Top Bottom