Wanaume mkoani Shinyanga waangua kilio kwa madai ya kunyimwa unyumba na wake zao

Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao.

Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga.

1. Unapiga mke.
2. Unamfanyisha Kazi Kama punda
3. Unalewa umsaidii kazi
4. Hela tabu
5. Kila mwaka mama anazaa

Then unategemea upewe mapenzi! Kwa kweli wanawake WA Kitanzania wanateseka sana!
 
Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao.

Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wi
Mbona sura zao wote hapo zinaonyesha wanapata unyumba mbadala
 
Back
Top Bottom