Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 291
- 477
Utakuta Mama mwenye nyumba anajipodoa na kioo kilivyo hakidanganyi Kweli anapodoka
Anashinda saloon kujipodoa
Style tofaut za urembo wa nywele,
Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka
Huu mchezo hautaki mekapu
Anashinda saloon kujipodoa
Style tofaut za urembo wa nywele,
Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka
Huu mchezo hautaki mekapu