Wanaume kwanini hamjui kutupapasa bali mnatufinyafinya wakat wa maandalizi ya sex na mikono yenu migumu

Hela nikupe , nikuhudumie vzr eeeehhh
Kazi nafanya ngumu ili nipate pesa nikuhonge nikija tena kwenye kwichikwichi nije na mikono mwororo heeee

Mi nakuja na mikono kama mbao hivo hivo mi nakanda ka navojisikia we usipojisikia utajiju mi nashindilia tu raha jipe mwenyewe
 
Katika vitu navyojutia ni kuwa kijana ktk zama hizi.
Kweli mtoto wa kike anakuja yasena haya ya kaharage hadharani hivi!!!!

Demiss na nyie mnatunyanyasa sn tunapofanya maandalizi ya side B.
 
Katika vitu navyojutia ni kuwa kijana ktk zama hizi.
Kweli mtoto wa kike anakuja yasena haya ya kaharage hadharani hivi!!!!

Demiss na nyie mnatunyanyasa sn tunapofanya maandalizi ya side B.
Kwahiyo Mnataka tusiseme ukweli
 
wengine hua hawaelewi fore play au romance...ingekua bora sana ukikutana na kama huyo uvuje ukimya na umwambie namna unapedelea kushikwashikwa n.k
 
Ukiona hivyo mwelekeze, si mnasema haki sawa, unanyamaza kwa nn wakat unaumia? Bas unapenda. Hata ninyi baadhi yenu hamjui mapenz, humkumbatii mwenzio, hujui kumtekenya apande midadi, hamjui kukata mauno,nk mnachojua ni kupanua tu
 
Atafute siku nyingine mijamaa ya kikurya, hii wanasemaga huwa iko vizuri, sasa tatizo lake analiwa na watu wa dar es salaam tu,
 
Ukiona hivyo mwelekeze, si mnasema haki sawa, unanyamaza kwa nn wakat unaumia? Bas unapenda. Hata ninyi baadhi yenu hamjui mapenz, humkumbatii mwenzio, hujui kumtekenya apande midadi, hamjui kukata mauno,nk mnachojua ni kupanua tu
Hapo sasa awe mmeo ! Utakoma kuringa!
Wengine pasua kichwa,mke hasikilizwi hata kidogo!
Utashauri nini zaidi ya kuvumilia!
Poleni wanawake!
 
Back
Top Bottom