Wanaume kuweni makini, Wanawake wengine ni gundu na mikosi kwenye maisha yako

Gundu na mikosi iko kwa wanawake tu?
Behind every successful man there is a woman. Hii hamuipingi!! Wanaume kuweni makini hii siyo uwongo, kuna wanawake wana gundu utaharibikiwa kila kitu, kazi biashara, nk nk sifa moja wapo ya mwanamke mwenye gundu ni familia/uzao au ukoo alikotoka kaka na wajomba zake hawana kazi, hawana biashara, hawana familia, hawajengi wala hawanunui hata nyumba za nyasi, wazembe, wavivu, wajinga nk nk misfortunes can really be infected by sexual intercourse
 
Kipo kwa mfano mdogo Kristian hufunga ndoa j.mosi saa Tisa alasiri Kama Rc kkkt n.k, Islam hawana muda halisi hi huwa wengi huchungulia nyota kwa wajuzi wa nyota ikiwa mwanamke nyota yake inanguvu kushinda ya mwanamme hugeuzwa ndio mana wakati mwingine ndoa hufungwa saa saba za usiku kutokana na hesabu za mnajim.
Hakuna mambo hayo katika Uislam. Imani ya Nyota ni Shirki. Wala hakuna nuksi wala mkosi.
 
Behind every successful man there is a woman. Hii hamuipingi!! Wanaume kuweni makini hii siyo uwongo, kuna wanawake wana gundu utaharibikiwa kila kitu, kazi biashara, nk nk sifa moja wapo ya mwanamke mwenye gundu ni familia/uzao au ukoo alikotoka kaka na wajomba zake hawana kazi, hawana biashara, hawana familia, hawajengi wala hawanunui hata nyumba za nyasi, wazembe, wavivu, wajinga nk nk misfortunes can really be infected by sexual intercourse
Dah ni kweli
 
Back
Top Bottom